Ni Siku ya nne sasa, mawazo yamejaa kichwani, usingizi hauji, kichwa kinauma. Nakaa hadi saa nane bila usingizi.. mawazo sana.
Wanasema, kuna umri ukishafika, kauli ya "I am from a poor background " inapotea, na wewe ndiye unayekuwa "background" I have tried and still trying to substantiate...