ujasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Je unajua kitendo hiki kwenye ujasusi??

    **Je unajua kitendo #hiki kwenye ujasusi?? **Kwenye ujasusi unaweza kutambua unafatiliwa au unapelelezwa na watu wenye nia mbaya alafu wewe unatangaza hadharani sehemu ulipo ili kuweza kuwaibaini hao wanaokufatiliwa?? **Kijasusi, kitendo hiki kinaitwa Counter-Surveillance (Ushushushu wa...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Jifunze kitu kupitia ujasusi

    Kwenye ujasusi Mkuu wa operesheni ,kiongozi wa serikali akitaka kujua kama Afisa usalama au jasusi anamletea taarifa za uongo au za ukweli unatumia mbinu hii. 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 **Unatuma maofisa wa usalama au majasusi tofauti kama 5 bila wao wenyewe kujuana ili kuchunguza taarifa...
  3. Miss Halima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ajali yaua mkuu wa ujasusi ECUADOR

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa la Ecuador, Michele Sensi Contugi pamoja na Mkewe ni miongoni mwa watu saba ambao wamefariki dunia baada ya helikopta kuanguka katika eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Duru za siasa za Kimataifa zinapata wasiwasi kuwa huenda ni...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Ujasusi wa Ecuador Miongoni mwa Waliofariki Katika Ajali ya Helikopta Samburu

    Maelezo zaidi yameibuka kuhusu watu saba waliofariki katika ajali ya helikopta karibu na Mlima Ololokwe, Samburu, huku ikibainika kuwa Mkuu wa Ujasusi wa Ecuador Michele Sensi-Contugi na mkewe Stephany Vásconez walikuwa miongoni mwa wahanga. Sensi-Contugi, mwenye umri wa miaka 44, alikuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kenya akamatwa Zambia akihusishwa na ujasusi kuvuruga Uchaguzi

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 kutoka Kenya amekamatwa nchini Zambia baada ya mamlaka kumhusisha na operesheni inayodaiwa kuhusisha uhalifu wa mtandaoni dhidi ya mifumo ya Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo. Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa ya Zambia ilitangaza Agosti...
  6. hancy Abdon

    JamiiForums Tanzania Love is a drug abuse

    SEHEMU YA KWANZA AGE.............................18+ THE STORY MASTER AUTHOR...................... Hancy A abdons "Kuna mwanafunzi mgeni!". Nikazungumza na kumtizama mtu aliyeniletea hiyo taarifa alikuwa ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza. "Ndiyo mkuu". akazungumza kwa uwoga baada ya...
  7. The Black Hermit

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ipeni marks hii hadithi.

    Wale mpendao Hadithi za Ujasusi, mnasemaje?
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mkwawa: Gwiji wa Ujasusi na Vita vya Kimkakati

    👉Iringa si mkoa wa kawaida katika historia ya Tanzania. iringa ni ardhi iliyobeba mizizi ya kwanza ya ujasusi wa kizalendo na mbinu za vita vya kimkakati. 👉Misingi hiyo iliwekwa na mmoja wa viongozi mahiri zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki, Chief Mkwawa wa Wahehe. 👉Chief Mkwawa...
  9. hamis77

    JamiiForums Tanzania Israel yasema imemuua Waziri wa ujasusi wa Iran, Esmail Khatib

    Iran’s intelligence minister Esmail Khatib Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran. Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Pegasus, programu ya udukuzi kutoka Israeli iliyodukua wakuu wa nchi na ilivyohusika na mauaji ya Jamal Kashoggi

    Fikiri mfano huu: umeshika simu yako, ghafla tu unasikia imeita, kabla hata hujapokea inakatwa. Unaachana nayo. Hujabonyeza chochote. Lakini!! Simu yako ndio imeshadukuliwa hivyo!! Meseji zako zote za kawaida na za whatsapp, zinasomwa. E-mails zako zote zinasomwa! Simu zako zote zinasikilizwa...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka kadhaa

    Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka, wakifuatilia harakati za Ayatollah Ali Khamenei,walinzi wake, na maafisa wengine wakuu wa Iran kabla ya mauaji yake, kulingana na ripoti. Israel ilipata ufikiaji wa karibu kamera zote za jiji...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kumbe ilikuwa ni CIA waliofanya ujasusi dhidi ya Ayatollah na wenzake!

    https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6 Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA. CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili kuijua mienendo yake. Na ni CIA hao hao ndo waliowapenyezea IDF taarifa za kwamba Bw. Ayatollah...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  15. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ujasusi sebuleni kwetu: Itabaki kuwa thread yangu bora ya Wakati wote hapa JF

    Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi. Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
  16. F

    JamiiForums Tanzania Dhana kwamba jasusi lazima awe “mtu safi” ndiyo inaua ujasusi wa Afrika

    Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa. Ujasusi si...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

    Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫 📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️‍♂️ Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe...
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ijue programu ya ujasusi PRISM na XKeyscore

    Program maalumu inayorekodi mazungumzo ya watu kwenye simu (yaani actual voice/content ya mazungumzo, sio tu metadata kama nani alipiga nani na muda gani) ni tofauti na PRISM na XKeyscore kulingana na maelezo yaliyotolewa na Edward Snowden na ripoti za baadaye. Hii hapa ufafanuzi rahisi na wa...
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ujasusi: Herbert Curkus muuaji aliyeuliwa na kuhifadhiwa kwenye sanduku la kusafiria

    Kwenye kituo kimoja cha treni ndani mji wa Rotterdam, alionekana mwanaume mmoja akiwa amevalia miwani nyeusi ya jua huku amekamata begi aina ya briefcase mikononi mwake. Bwana huyu kama ungebahatika kumuona siku hii alikuwa ni jamaa fulani hivi mwenye umri wa makamo kama miaka 40 hivi ambaye...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii na Hapa JF ndio tunawapa ujasusi wao wa kipuuzi kuna jambo tukiweka mjadala ndio tunawapa kujipanga

    Kuna mada kuhusu mipango mibovu ambayo CCM na serikali yake wovu naona ujifunza na kutafuta mbinu za kukabiliana nalo palo wanapojiona wametumia akili kubwa. Mfano hii picha Usije shangaa hata hizo nyumba zinazoangalia hiyo sehemu inawezekana zikabadilishwa au kubadilishwa ili wapoteze mada...
Back
Top Bottom