ICU Medical, Inc. is a San Clemente, California-based company with global operations that develops, manufactures, and sells medical technologies used in vascular therapy, oncology, and critical care applications.
ICU Medical’s products are designed to prevent bloodstream infections and protect healthcare workers from exposure to infectious diseases or hazardous drugs. ICU Medical's product line includes intravenous therapy (IV) products, pumps, needle-free vascular access devices, custom infusion sets, closed system hazardous drug handling devices and systems, sensor catheters, needle-free closed blood sampling systems, and hemodynamic monitoring systems.ICU Medical’s products are designed to prevent bloodstream infections and protecting healthcare workers from exposure to infectious diseases or hazardous drugs. In addition, the company's IV medication compounding and delivery products are designed to improve medication and dosing accuracy and improve clinical workflows. ICU Medical has been named one of the 100 Most Trustworthy Companies in America by Forbes Magazine.
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu...
Lionel Richie (77) alijipeleka mwenyewe kwenye Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) kama hatua ya tahadhari muda mfupi baada ya onyesho lake huko St. Louis siku ya Jumamosi, Agosti 29. Kwa mujibu wa mtandao wa 'TMZ', wakati wa onyesho hilo.
Richie alionekana kupata shida na aliomba kiti akiwa...
Kwa mujibu wa TMZ, mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Lionel Richie (77), amelazwa ICU huko St. Louis, Missouri, baada ya kufanya tamasha Agosti 29 katika Ukumbi Wa The Muny.
Richie alipelekwa hospitalini kwa ajili ya vipimo, huku madaktari wakichunguza uwezekano wa upungufu wa maji mwilini...
Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza.
Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda.
Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara.
Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache...
Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani akapishana kauli na hao watu ambao walianza kumshambulia na kumuumiza vibaya.
Kwa sasa anapigania maisha...
Anonymous
Thread
harufu
harufu ya rushwa
hospitali
icu
mwenzetu
rushwa
watumishi
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”.
Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa kujenga mfumo imara wa afya unaodumu kwa muda mrefu, huku ushirikiano ukiwa ndio msingi mkuu wa mafanikio...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni ili kuokoa maisha ya wananchi wa Handeni, kitendo...
Ujenzi wa wodi mpya ya Wagonjwa Mahututi (ICU) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) umefikia asilimia 98, hatua inayotarajiwa kuboresha huduma za kibingwa na kibobezi kwa watoto wenye uhitaji wa uangalizi maalum.
Akizungumza leo januari 15...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa.
Gigy Money...
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo.
Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.
Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila...
Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU
==
Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi.
Bw...
Msikilize huyu mtanzania!!
Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu!
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC
Manesi wamezidiwa...
Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU.
Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa.
Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
Mgonjwa Akiwa ICU Huhitaji maombi. Tusichoke kuwaombea wale wote wanaotamani kuwa wanasiasa.
Mwanasiasa wa ukweli ana bidii ya kusoma ili kujua misingi ya nchi, kisha kwa imani yake kumuomba Mwenyezi Mungu kuiishi misingi hiyo huku akiwa mnyenyekevu na mtiifu. Mwanasiasa huyu anaitekeleza kwa...
Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
Kama mada inavyojieleza
Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU
Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.