Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu.

Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu.

Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?

image_6a0a95a9-d867-4b48-93b0-9e225433236620230928_131546.jpg
 
Hakuna watu wazuri kupika taarifa kama Viongozi wa Tanzania

Kama itakuwa kweli wanafika Watalii milioni 3.8 kama ilivyoripotiwa basi ni jambo la kupongezwa ila shida ni Upishi wa takwimu tunaofanyiwa na Viongozi wetu
 
Umesoma kayumba nini? Soma hata kichwa cha hiyo habari. Kwa tafsiri ya hiyo heading tu hatujawahi kufikia hiyo rekodi.
Mimi nilivyoelewa kutokana na heading ni kwamba utalii ulikuwa umepungua sasa ile idadi inatarajiwa kupanda kwa sasa.
NB:Huo ni uelewa wangu wa shule za kayumba.
 
Back
Top Bottom