kivutio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machakos People’s Park: Ilikuwaje Kutoka Kivutio cha Watalii Hadi Hali Hii?

    Katibu wa Baraza la Mawaziri na aliyekuwa Gavana wa Machakos, Alfred Mutua, ameonyesha kushtushwa na hali ya Machakos People’s Park baada ya kutembelea eneo hilo. Hifadhi hiyo iliwahi kutajwa kama moja ya vivutio muhimu vya utalii katika Kaunti ya Machakos na chanzo cha mapato kwa serikali ya...
  2. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tangazeni vivutio vipya vya Utalii, Pori la Akiba Mpanga Kipengere ni moja ya kivutio kinachopaswa kutangazwa Duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,amewataka maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kutangaza vivutio vipya vya utalii vilivyoko hapa nchini ili kuonesha na kutoa fursa ya kujulikana nchini na duniani kwa ujumla. Msigwa...
  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimekua kivutio sana kazini

    Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini. Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Mbia anaweza kudhaminiwa au kuchangiwa sehemu kidogo ya mtaji na Serikali kama kivutio hasa kwenye Miradi isiyo na sura ya kibiashara

    Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC David Kafulila amesema kuwa muwekezaji anaweza kupewa vivutio ikiwemo kuchangiwa mtaji endapo atawekeza kwenye ubia ikiwa ni pamoja na dhamana za serikali kumlinda muwekezaji ambaye anawekeza endapo ikitokea tofauti na jinsi ilivyo kadiriwa na hivyo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ngoma za asili ya Uarabuni ni kivutio duniani

    Hii Ngoma inaitwaje? Utamaduni wa Kiarabu unajumuiaha Ngoma, Chakula na Watu.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

    Wadau hamjamboni
  9. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Wahadzabe ni kabila ambalo ni zaidi ya kivutio cha Utalii ila hawapewi kipaumbele kama tunavyowapa Maasai

    Kusema kweli saiz kabila la kimasai halina maajabu tena ya kufanya tuwape kipaumbele kama kivutio cha watalii kwa kuwa maisha yao ni maisha ya kawaida kabisa, ukiachana na ufugaji wao na uvaaji wao hakuna kingine cha maajabu kinachofanya kutangazwa kama kivutio cha watalii. Katika filamu ya...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Yemen yeigeuza meli ya Israel kuwa kivutio cha watalii

    Wanaukumbi. 🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship. =============== 🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii. Wageni wanaonekana wakicheza...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Penthouse juu ya nyumba ya wapangaji yawa Kivutio nchini Kenya

    Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants). Mama huyo ambae ni nurse kwa taaluma anaefanya kazi USA aliamua kuja na hio idea ambapo baada ya...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Huduma za TGC kivutio maonesho ya madini na uwekezaji mkoani Lindi

    Ruangwa - Lindi Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya Madini na Uwekezaji mkoani Lindi wamevutiwa na bidhaa zilizozalishwa na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika banda la Wizara ya Madini. Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na TGC kutokana na madini mbalimbali zilizopo katika...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mfumo wa kielektoniki wa Anwani za Makazi NaPA (National Physical Addressing) umekuwa Kivutio

    WANANCHI MOROGORO WAUMWAGIA SIFA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA ANWANI ZA MAKAZI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Morogoro. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kutoa elimu kuhusu majukumu yake na huduma inazotoa kwa wananchi kupitia sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Je, kivutio kikubwa ni kipi?

    Katika igamimg industty tunaona kwamba kampuni nyingi sana zinakuja kwa kasi hasa katika nchi yetu hapa Tz, kuna vivutio vingi sana kwa wateja ili kubet na haya makampuni. Ukiachia mbali michezo yenye kulipa kama hii Live casinos na online slots nahitaji kufahamu kama kuna kampuni inatoa ziada...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Milioni 214.3 Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Kivutio cha Utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru

    YAWEKEZA MILIONI 214 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAPOROMOKO YA ULUGURU Serikali imesema imewekeza fedha kiasi cha shilingi mil. 214.3 kuboresha miundombinu ya barabara katika kivutio cha utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro. Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Semina ya SOS Children’s Villages na REPSSI yawa kivutio kwa Polisi Dar

    Semina ya kuwajengea uwezo wa Afya ya Akili kwa Askari Polisi inayoendelea Jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Taasisi ya SOS Children’s Villages kwa kushirikiana na REPSSI imekuwa kivutio kwa Askari Polisi Washiriki kutokana na mada mbalimbali ikiwemo namna ya kumsikiliza mtoto mwenye msongo...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mother Nature ni kivutio kikubwa cha utalii huko Karura Forest, Kenya

  18. K

    JamiiForums Tanzania Na hiki pia ni kivutio cha utalii Tanzania, tukitangaze

    Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam katika list ya vivutio vya utalii, make na zenyewe ziko kiasili kabisa. Barabara ni ya TANROADS tangu...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal tour ni janja ya mabeberu kujipatia pesa kupitia sekta ya utalii

    Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini? Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman...
  20. waziri2020

    JamiiForums Tanzania James Ole Milya awa kivutio michuano ya wabunge inayoendelea jijini Arusha

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Ole Milya alionekana muda mwingi akiwa amevaa bendera ya Tanzania huku akiwa ameshika vuvuzela...
Back
Top Bottom