Heshima sana wanajamvi.
Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.
Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa...
Gambo amuonya Mkuu wa wilaya mbele ya Makonda, asema ameshindwa kazi
Kuna kiongozi mmoja, alisema eti mambo hayaendi kwasababu ya mgogogro wa mbunge, Baraza la Madiwani na Wataalamu, haya mlioyaona kuna sehemu mbunge anaingia hapo? Mkuu wa Mkoa kwa kuridhika na kazi yako nimetulia naomba...
Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva.
'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa cheo au kapanda ila ndiye yeye, mara mama kakosea, wengine huko wanasema ooh kamalizwa na msoga gang...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!
Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo...
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 52, leo Juni 21, 2023
Kulaza Shule za Bweni watoto wenye umri chini ya Miaka 5
Naibu waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolijia Mhe. Omary Juma Kipanga (Mb) amesema kuwa kibali cha kulaza wanafunzi wa Bweni hutolewa kwa...
Akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2023/24, Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amepinga pendekezo la Serikali kuongeza Tsh. 100 kwenye kila Lita ya Dizeli na Petroli kwa maelezo tayari Mafuta yana Kodi 22.
Akifafanua zaidi amesema tayari baadhi ya Kodi zinazotozwa kwenye...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amehoji sababu za Serikali kutoingiza kwenye Muswada wa Sheria ya Fedha maelekezo ya Rais Samia kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) ya kutofungia Biashara kwa kigezo cha madeni ya nyuma licha ya Waziri wa Fedha kutaja jambo hilo kama pendekezo kwenye Bajeti Kuu...
Mkuu wa wilaya ya Arusha Felisian Mtehengerwa amesema kitendo cha wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika jiji la Arusha kuandamana usiku kinachochewa na wanasiasa wenye nia ovu ya kuihujumu serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na amemtuhumu mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kuwa kinara wa...
Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa.
Mtahengerwa amesema hayo leo April 19,2023 wakati akizungumza na waandishi...
Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha.
Sababu kubwa Arusha wanaamini kwa makusudi serikali kwa miaka mingi haikuwa upande wao kuanzia kodi, tanzanite na miradi ya...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara.
Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally.
Tuweke list ya top 5 ya wabunge watetezi kweli wa hoja za wananchi bungeni;
1. Mrisho Gambo
2. Bashiru Ally
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa...
Mkuu wa Wilaya Arusha (DC), Said Mtanda amesema hakuna mpango wowote wa kiongozi wa Serikali kumuuwa Mbunge wa Arusha Mjini (DC), Mrisho Gambo.
Akizungumza na waandishi wa habari DC Mtanda amesema Serikali haina nia ovu dhidi ya Gambo.
"Nimekuwa nikiona na kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii...
Siku moja baada Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo kutoa madai ya kuwepo njama za kuuawa baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali aliosema anawajua, Godbless Lema, mbunge wa zamani wa jimbo hilo amemshukia akisema analenga kuhamisha goli huku Jeshi la Polisi...
Kwa mfano unavyopenda mara kwa mara kwenda kwa Rafiki yako mkubwa mwenye Media yake nyuma ya Kebby's Hotel Bamaga na jinsi ile njia ilivyo na Giza na Ukimya ule Wakikuamulia Watakukosa?
Nimeshangaa na Kusikitika kuona mahala fulani kwa Nyodo na Jeuri kabisa ukitamba na kusema kuwa hawakuwezi na...
Buriani Mrisho Gambo!
Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.
Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake.
Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.