kielimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO DIT: Wanafunzi tunahitaji Uhuru wa Kielimu, hatutaki Uchawa!

    KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RUDN Yatambua Tanzania: Uhusiano Imara wa Kielimu

    RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Namna mwaka 2026 utakavyoimarisha uhusiano wa kielimu kati ya China na Afrika

    Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni. Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kielimu katika kozi za Molecural biology and biotechnology na Bachelor of biotechnology

    Hello Kuna kijana amesoma Diploma in medical laboratory science na ana leseni kutoka bodi ya wataaluma wa maabara ila anataka kwenda kujiendeleza kielimu katika course za 1.Molecural biology and biotechnology (Udsm) 2 Bachelor of biotechnology (must) Kwa wataalamu na wajuzi wa haya mambo hizi...
  7. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavyoweza kupiga Hatua Kiuchumi na kielimu

    So far hapa tulipofika kuna watu wamepambana lakini haiondoi ukweli kuwa bado tupo nyuma. Huu ndio ukweli wa wazi Nimekuwa nikiwaza kwa namna gani tunaweza kupiga hatua mawazo yangu yakanituma kutazama vilabu viwili Simba na Yanga ambavyo vimepiga hatua walau nakutuweka kwenye ramani ya nchi za...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  10. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Katika strategy ya kiuchumi na kielimu, Tanzania itoe Scholarships za kwenda china, hasa kwa waalimu wa VETA, na vyuo vya kati

    Sio siri, wenzetu hawa set up ya elimu yao imejibu tatizo la ajira. Ni kawaida kuwasikia wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda China wanakwambia kwamba nenda na sampo tu, mengine mchina anamaliza. Hawa elimu yao Institute mahitaji ya jamii. Nashauri waalimu na wanafunzi wa elimu ya kati...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Mustakabali wa Tanzania Kielimu: "Tanzania Tuitakayo"

    Tanzania, taifa lililojaliwa kuwa na maliasili nyingi, utajiri wa kitamaduni, na uwezo mkubwa sana, linajikuta katika wakati muhimu katika safari yake ya kuelekea maendeleo na ustawi. Dunia inapoendelea kukua kwa kasi, ikisukumwa na kasi isiyo na kikomo ya maendeleo ya sayansi na teknolojia, ni...
  13. MAKOLE

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Taasisi ya misaada ya kielimu

    HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO: Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na changamoto za kifamilia na kipato cha wazazi wanalazimika kutafuta misaada. Binafsi nimefanikiwa...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Mafanikio na kuanguka kwa shule mbalimbali za sekondari halmashashauri ya Bunda MjinI

    Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
  15. acyer

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mzazi na mabadiliko kielimu

    STORIES OF CHANGE JINA LA ANDIKO: MZAZI NA MABADILIKO KIELIMU. MWANDISHI; ACYER MAMU -MCHANGO WA MZAZI KATIKA MABADILIKO YA KIELIMU Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu kadri ambavyo siku zimezidi kwenda.Mabadiliko hayo yameweza kupelekea kuongezeka kwa idadi kubwa ya wasomi...
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni juu ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Je, Tunakidhi Mahitaji ya Kielimu ya Vijana Wetu?

    I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
  17. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Kwanini lugha ya Kiswahili haitumiki kufundisha kwa ngazi zote za kielimu?

    Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums: Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022. 1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wahindi na Wanigeria: Kwanini hizi jamii zipo mbali kielimu na kiuchumi?

    Ebu leo naomba tuangalie hizi jamii mbili katika ya wahindi na wanaigeria hivi kwanini awa watu wanapiga atua. Pia uwezi kwenda sehemu ukamkosa kati ya awa watu wawili pia ukiangalia ata kwenye utajiri wa Dunia wapo aiseee. Hizi jamii mbili kwakweli zipo mbali kimaendeleo ata kielimu na...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
Back
Top Bottom