veta

Veta (transl. Hunt) is a 1986 Indian Telugu-language period action film starring Chiranjeevi, Jaya Prada and Sumalatha in the lead roles. The film was made by Samyuktha Movies, whose earlier blockbuster was Khaidi. The movie is based on Alexandre Dumas' 1844 novel The Count of Monte Cristo. The successful team of director A. Kodandarami Reddy, composer K. Chakravarthy and writers Paruchuri brothers was repeated in this movie as well. The movie was dubbed into Hindi as Farrar Qaidi.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa VETA Mpanda tangu Mei 2026 tunasubiri kufanya mtihani wa PSV na HGV

    Sisi wanafunzi wa VETA Mpanda, kuanzia mwezi wa tano tunasubiri kufanya mtihani wa PSV na HGV. Tuliambiwa mfumo umebadilika na tunapaswa kusubiri kukamilika kwa usajili kwenye mfumo mpya kwa ajili ya mtihani, lakini mpaka sasa tunapewa taarifa ambazo hazina hitimisho. Tunaomba msaada wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  3. Ndombolo Ya Solo

    JamiiForums Tanzania HOJA OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026

    YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA. Ndugu Viongozi, Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiriwa wapya VETA tuliopangiwa vituo vya kazi kupitia UTUMISHI tumeambiwa tusubiri Siku 90 bila mshahara

    Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA Ndugu Viongozi, YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa vyeti vya basic driving veta kipawa

    Tumemaliza toka mwezi wa 6 mwanzoni mbaka leo atujapata vyeti na kila kutiwatafuta wanasema baada ya wiki mbili hata ukienda pale veta kipawa majibu ayo ayo tunashindwa kufanya vitu vyengine sababu uwezi pata leseni ya udereva bila ya cheti sisi ni vijana kuna watu wana tutegemea veta kipawa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania VETA yatangaza mpango wa kuzalisha simu brand name 'Ujuzi pro

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza mpango wake wa kuanza kuzalisha na kuunganisha simu janja nchini chini ya chapa inayojulikana kama "Ujuzi Pro". Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Anthony Kasore, ameeleza kuwa utengenezaji wa simu hizo hapa nchini ni hatua kubwa ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwaka sasa Watumishi wa VETA Intake ya September 2025 hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Ni Mwaka sasa tangu tumewasilisha kero yetu ya kutolipwa Fedha za Kujikimu kwa sisi watumishi wa VETA Intake ya September 2025. Hatujalipwa na kuna mmoja ya mtumishi mwenzenu yeye yupo Makao Makuu anadiriki kusema sisi tunaeza tusilipwe kwa sababu ya kudai haki yetu ambayo kimsingi hatupaswi...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu ya vijana kukimbilia bajaj na pikipiki kuliko kwenda Veta au shambani?

    Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa? Mwaka jana mbunge baba levo alitoa pikipiki za kutosha kwa vijana jimboni kwake, Sijaona hawa jamaa...
  9. Soul21

    JamiiForums Tanzania Bora Veta au Vyuo vya kati kwa form 4?

    Wanafunzi wanaokosa kwenda kidato cha tano na sita huwa wanapangiwa vyuo. Picha: Daily News Ila nilichogundua mkakati huu unalundika wanafunzi wengi kusoma koz nyingi ambazo hazina athari ya moja kwa moja kwenye maisha yao zaidi baada ya kuhitimu wanakuja kuwa na mawazo ya ajira. Mfano...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waliomalima VETA basic driving wanacheleweshewa vyeti vyao.

    Naombeni hii post mods mnisaidie kuiweka kwenye kero.Dira ya maendeleo 2025-2050 inasema elimu na ujuzi kwa maendeleo ya taifa na katika hilo waziri mkuu aliepita alishauri na kusistiza sana watu waende veta wakachukue juzi mbalimbali. Katika hao walioitikia huo ushauri Kuna wengine wamechukua...
  11. Optimists

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

    Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata ya Mwaya Mkoani Morogoro atoa mafunzo ya TEHAMA VETA - Mwaya

    Mkaguzi wa Polisi Kata ya Mwaya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Masengi Marwa, ametoa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mwaya kuhusu matumizi sahihi na salama ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Mkaguzi huyo, ambaye pia amebobea...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania VETA: Waliopoteza au kuharibikiwa vyeti watapatiwa vyeti vipya badala ya Result Slip ila watalipia

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imepokea taarifa za malalamiko yaliyotolewa kupitia baadhi ya vyombo vya habari kuhusu suala la utoaji wa vyeti mbadala kwa wahitimu waliopoteza vyeti au vyeti vyao kuharibika. Pia soma ~ VETA Makao Makuu wanatuambia tuliopoteza vyeti hatuwezi...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madereva 165 wa Malori walalamikia kushindwa kufanya mtihani wa mwisho VETA - MPANDA

    Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva

    VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya umahiri inayoendeshwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi (Kitengo cha usalama Barabarani)...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3

    VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria Ibadilishwe Ya Kupata Vyeti Iliyopo Sasa Hivi Hukipata Cheti kikipote Ndio Imeisha Hivyo Je? Bunge...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO VETA kuna tatizo kubwa katika malipo ya Watumishi, hawalipi kwa wakati kabisa

    Tuliitwa Dodoma kuhudhuria semina elekezi, tukasafiri kwa gharama zetu na tukakaa Dodoma siku tatu kwa gharama zetu na hatukulipwa gharama hizo kama inavyotakiwa kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma. Tulipewa barua za kuelekea kwenye vituo vya Kazi, nilihamisha familia kutoka Karagwe kwenda...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeitumikia VETA miaka mitano nikifundisha masomo zaidi ya matano kwa laki tatu. Kila ajira zikitokea sipewi kipaumbele

    Miaka mitano naitumikia VETA nikifundisha masomo zaidi ya matano kwa laki tatu huku familia ikinitegemea. Kila ajira ikipelekwa, wanaajiriwa wengine.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Ajira Mpya VETA walioitwa Dodoma ‘kutelekezwa’, VETA yasema “Wanaandaliwa mafunzo elekezi 21-22 Mei 2026”

    Baada ya andiko lililowekwa na Mdau kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, alipoandika “Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?” Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaojifunza magari VETA Mbeya, magari mengi ni mabovu

    Nimeona andiko la Mdau kutoka VETA kuhusu changamoto ya Forklift upande wa Dar, upande wa Mbeya hali ni hiyohiyo, hali ya masomo ya udereva yamekuwa magumu, magari hakuna kwahiyo Serikali ituangalie. Magari mengi ni mabovu, kwa mfano wiki ya tatu sasa madereva wa malori wanazungushwa mtihani wa...
Back
Top Bottom