kutafakari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
  2. Teko Modise

    Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    “Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi...
  3. Expensive life

    Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
  4. Wadiz

    Nimeamua kuishi kwa KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari

    Salaam JF, Hali ya ukimya wangu hivi karibuni katika jukwaa hili ni matokeo ya kuishi nadharia na vitendo katika KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari. Haijawa rahisi sana ila ndio hali halisi, sioni umuhimu wa kuainisha sababu, itoshe kusema naendelea kufurahia uamizi huu. Kila...
  5. Joyboy

    Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  6. Balqior

    Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

    Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa.. Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma...
  7. Q

    Waziri Mkuu na Bunge wanataka kutafakari nini wakati walipitisha kwa 100%

    Nimemsikia Mbunge Lucy Mayenga akiwaomba wabunge wenzake watafakari upya kuhusu mkataba wa DP World. Wakati huo huo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hawatapuuza maoni ya wananchi wanayotoa kuhusu huo mkataba. Hii tafsiri yake nini, ni kuwa Wabunge na WM wamegundua kosa lao, kuwa...
  8. R

    Mbunge anataka uwazi kwenye ajira Bila kutafakari mfumo wa uwazi katika Teuzi za Rais?

    Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa. Kama tunataka uwazi katika ajira na kama tunataka ajira ziwe by merits basi tumshauri Mhe. Rais afanye...
  9. Hamza Nsiha

    Ni wakati dhahiri wa kutafakari maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nchi yetu

    Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
  10. M

    Orodha ya mishahara ya Marais wa Afrika ni jambo la kujiuliza na kutafakari

    Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi. Ambapo kipindi cha...
  11. E

    Mambo makubwa manne ya kutafakari baada ya uteuzi wa leo 20/7/022 wa Camillus Wambura, Sirro na Kingai

    Kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya . Sitatoa Maelezo ila kila Great Thinker atatumia akili yake kuona kama kuna ukweli au la Maana watu hawa walihulisika moja kwa...
  12. F

    Hivi Wabunge wetu hawa hutumia muda gani kutafakari mambo, muda wote ni makofi na kuimba tu

    Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani. Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest issues). Sisi wabunge wetu hapo ni kupiga meza (makofi),kucheka na hata kuimba muda wote! Do we...
  13. GENTAMYCINE

    Sijui 'Tozo Umiza Komoa' ikibadilika leo utasemaje. Waziri Ummy Mwalimu punguza 'Kiherehere' na jifunze Kutafakari 'Masuala' mazito

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. Chanzo: Swahili Times...
  14. D

    Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

    Umbali wa kutoka Kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM Ili ufanikiwe kutoka Kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi! Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya...
Back
Top Bottom