nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika nchini Ukraine na Urusi yaonesha kuwa na Mafanikio

    Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
  2. T

    Tuletewe mikataba 15 aliyotia saini Rais Samia mwaka jana nchini China tuijue ina nini ndani yake

    Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China. Ni vyema mikataba hiyo 15...
  3. Anna Nkya

    Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  4. Gideon Ezekiel

    SoC03 Inapotokea njaa nchini sababu

    Baada ya kuona ugumu wa maisha nchini, Kama Mtanzania, Mzalendo, nikaamua kuingia mitandaoni kutafuta na kujua sababu yake ni nini? Nilipopitia baadhi ya mitandao ya kitaifa na kimataifa. Nimekuta habari za sababu ya kuwepo kwa njaa katika baadhi ya maeneo nchini. Sisemi kwasasa kuna njaa na...
  5. L

    Msimamo wa China wafanya Bw. Blinken afanye ziara nchini China

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Antony Blinken anafanya ziara nchini China, ikiwa ni ziara ya kwanza ya ofisa mwandamizi wa serikali ya Marekani nchini China tangu Rais Joe Biden aingie madarakani. Ziara hii inatajwa kuwa ni ziara muhimu, lakini inayofanyika katika kipindi ambacho...
  6. D

    DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

    Wadau wote na waungwana! Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini. Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio...
  7. Kaka Ibrah

    SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  8. Tukuza hospitality

    SoC03 Kila mmoja awajibike kutokomeza ufisadi nchini

    Kuna maneno matatu ambayo ni vigumu sana kuyatenganisha, hata kuyaelezea maana yake ni vigumu kumaliza bila kuhusianisha na neno au maneno mengine kati yake. Maneno haya ni RUSHWA, UBADHIRIFU na UFISADI. Nataka kujikita zaidi katika dhana ya UFISADI. Nitaeleza kwa ufupi maana ya neno Ufisadi...
  9. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
  10. A

    Serikali ya Rais Samia infuata/inatumia model gani ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini?

    Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia command and market economic model Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
  11. benzemah

    Serikali Kupeleka Magari Mawili ya Wagonjwa Kila Wilaya Nchini Ifikapo Agosti Mwaka huu 2023

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu. Akizungumza na mamia ya...
  12. benzemah

    Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi ili kukuza uchumi

    Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
  13. I

    Malori zaidi ya 100 Himo yenye shehena ya mahindi yaamuriwa kuuza mahindi yao nchini badala ya kuyasafirisha Kenya

    Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Nurdin Babu kwa maelekezo ya Waziri wa Kilimo Bw. Bashe. Bila shaka amri hii inatokana na zuio la Rais Samia kuzuia kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa chakula nchini na duniani kwa jumla. Hoja hapa kwa nini serikali...
  14. Titho Philemon

    SoC03 Sheria za Vyombo vya Habari, Madhumuni na Athari zake katika Uwajibikaji na Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Tanzania

    Utangulizi Habari ni taarifa au maelezo kuhusu tukio, jambo au matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii, taifa, au dunia kwa ujumla. Halikadhalika, vyombo vya habari ni njia au nyenzo mbalimbali ambazo hutumiwa kuwasilisha habari kwa umma, kama vile Magazeti, Runinga, Redio na nyinginezo...
Back
Top Bottom