nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuzima mabadiliko ya watu wenye tamaa za madaraka imefeli badala yake imechochea mwamko mkubwa wa mabadiliko nchini na duniani kote

    Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo, uwenda pia bunge la marekani na dunia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Vyama vya Siasa nchini Mali zimepigwa marufuku

    Serikali ya kijeshi ya nchini MALI imetangaza kusitishwa kwa shuguli zote za vyama vya kisiasa nchini humo hadi hapo itakapotangazwa tena. Tangazo hilo limetolewa tarehe 7 May 2025 kupitia televisheni ya taifa. Tangazo hilo limekuja ikiwa ni siku chache tangu serikali hiyo ilipotangaza azimio...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji awasili nchini kwa ziara ya kitaifa

    RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki kikamilifu mkutano wa mazingira duniani nchini Denmark

    TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu kumwamdikia barua Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Askofu Angelo Accattino

    Nakusudia kumwandikia barua rasmi Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Ask. Angelo Accattino na kumwomba mara tu Papa mpya atakapochaguliwa kwa ushawishi wake wa kimataifa(Papa) atusaidie Watanzania kukomesha vitendo vya kuteka na kuumiza watu. Vitendo hivi vitakoma ikiwa tu viongozi wetu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Kaganda asisitiza Ushirikiano kwa Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya viongozi wa Nchi hizo mbili katika masuala mbalimbali. Ametoa kauli hiyo leo Mei 05, 2025, Jijini Harare...
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa biashara 15 zinazo tajirisha vijana nchini kwa sasa

    Hizi ni BIASHARA 15 zinazowafanikisha vijana wengi kwa sasa, hasa Afrika Mashariki (ikiwemo Tanzania), pamoja na sababu kuu zinazopelekea mafanikio yao: CHAGUA YAKO. . 1. Biashara ya Mitandao ya Kijamii (Social Media Management & Influencing) Sababu: Vijana wana uelewa wa mitandao, hivyo ni...
  10. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Kwenye uzi huu weka picha ya mtu ,kiongozi unae dhani kuwa ni tatizo hapa nchini

    Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii. Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii Karibuni sasa tu share picha zao...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watu Milioni 2.1 wahudhuria Tamasha la bure la Lady Gaga nchini Brazil

    Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo umati mkubwa wa watu ulijaza ufukwe huo siku ya Jumamosi wakati nyota huyo wa muziki wa pop alipopiga...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Je, Askofu Malasusa anafurahia kwa yanayoendelea nchini?

    Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania-Canada kushirikiana kuendeleza sekta ya madini nchini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Emily Burns, Aprili 26, 2025 wamekutana Jijini Dodoma na kufanya kikao juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini. Balozi Emily Burns ambaye pia ametumia kikao hicho kwa ajili ya kujitambulisha,amesema nchi ya Canada ipo...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Elon musk kuzindua huduma ya intaneti satellite ya Starlink nchini Uganda

    Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda. Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa kutoa intaneti yenye Kasi na usio na wasiwasi Hatimaye wameomba leseni Rasmi ya kufanya kazi nchini...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

    Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru Watu ni waoga sijapata kuona
  17. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania SAMIDRC wagoma kuondoka nchini

    Katika hali isiyo ya kawaida, kama Uongozi wa SADC ulivyokuwa umekubaliwa na nchi ya Rwanda, kuwarahisishia wanajeshi wa umoja huo, kuondoka mashariki mwa DRC, kupitia mipaka ya Rwanda, huku wakielekea Chato, Tanzania, jana wanajeshi hao ndipo walitakiwa waanze kuondoka. Haikufahamika mara...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza! Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe! Hebu fikiria hivi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
Back
Top Bottom