camera

A camera is an optical instrument used to record images. At their most basic, cameras are sealed boxes (the camera body) with a small hole (the aperture) that let light in to capture an image on a light-sensitive surface (usually photographic film or a digital sensor). Cameras have various mechanisms to control how the light falls onto the light-sensitive surface. Lenses focus the light entering the camera, the size of the aperture can be widened or narrowed to let more or less light into the camera, and a shutter mechanism determines the amount of time the photo-sensitive surface is exposed to the light.
The still image camera is the main instrument in the art of photography and captured images may be reproduced later as a part of the process of photography, digital imaging, photographic printing. The similar artistic fields in the moving image camera domain are film, videography, and cinematography.
The word camera comes from camera obscura, which means "dark chamber" and is the Latin name of the original device for projecting an image of external reality onto a flat surface. The modern photographic camera evolved from the camera obscura. The functioning of the camera is very similar to the functioning of the human eye. The first permanent photograph was made in 1825 by Joseph Nicéphore Niépce.

View More On Wikipedia.org
 1. The Underboss

  Iphone 14 ya mwaka 2022 kuja na notch punch hole front camera badala ya notch.

  Kuna fununu kwamba mwaka huu, 2022 Apple atatoa simu za Iphone 14 pro yenye punch hole camera cutout kama zilivyo simu nyingine za Android tofauti na notch ama dirisha kwenye simu zake za sasa. Mtindo huo mpya utakua kwenye simu za Pro ila nyingine zitabaki na notch. Kwenye design ama mitindo...
 2. N

  Tunatoa huduma ya kufunga CCTV Camera

  CCTV CAMERA KIT AND INSTALLATION Cctv camera ambazo connection yake ni wired zipo za aina mbili coloured camera na colorvu camera. 1. Coloured camera Izi zinatoa picha yenye rangi kwenye mwanga (mchana na usiku ikiwa karibu na mwanga wa taa) , kwenye giza inatoa picha black and white lakini...
 3. Abou kenya

  DROP YOUR FARITE PICS, Ulizopiga kwa kutumia camera ya simu yako...!!

  Habari wana JF! Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF Thank you🙏 photography17
 4. T

  Azam Media ongezeni kamera uwanjani

  Salaam, Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya wataalamu wenu waende uingereza,spain au ujerumani wakajifunze namna ya kurekodi na kurusha matangazo...
 5. Sylvester daudi

  Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D

  Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D. Kama kuna mtu anauza anitajie bei gani. 0716723263
 6. FRANCIS DA DON

  Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

  Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani?
 7. Jemima Mrembo

  Mchawi anaswa kwenye camera akiwanga nyumbani kwa Grace Makani.

  Mchawi huyo amenaswa na CCTV cameras akiwanga. Ikumbukwe kuwa miaka michache nyuma Grace Makani aliondokewa na mwana wake mpendwa Lulu baada ya kuangukiwa na geti kimiujiza. Tuendelee kuiombea ulinzi family ya Grace Makani a.k.a Da Gie
 8. sky soldier

  Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

  Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
 9. Wisdom Flag

  NATAFUTA CAMERA NZURI USED BAJETI YANGU 800K

  Mwenye camera nzur used naomb tuwasiliane wakuuu bajet yangu 800k
 10. I

  Natafuta SCREEN ya camera SONY 720p

  Ndugu zanguni heshima kwenu! Jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya screen na camera yote, imesababisha camera ikiwaka kunakuwa na gizo tu kwenye kioo yaani kioo hakionyeshi kitu giza tu, na fundi ameshindwa kuunganisha, akanishauri ninunue...
 11. C

  INAUZWA Full HD Webcam / PC Camera

  Webcam for video conferencing , Streaming, video calls ( YouTube, Zoom meetings, Skype,etc.) 1080p Full HD Condition : used ( just 1 year) Delivery : From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 79,000 Tzs Call: + 255 658 700 510
 12. GENTAMYCINE

  Nashauri Kambi zote za Jeshi zifungwe Camera Maalum na zisilindwe tu physically na Wanajeshi

  Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo. Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika. Kama Mzalendo leo nina...
 13. TECNO Tanzania

  Tecno Camon 18 will offer triple camera and 5x optical zoom

  Tecno is one of the makers making great progress in the budget and midrange segment in the past year. Its Camon 17 series offered large screens, ample battery life and respectable cameras and we now have an extensive first look at the next generation Camon 18...
 14. majid salim dossa

  Simu inanisumbua Camera

  Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
 15. C

  INAUZWA Camera inauzwa Nikon D810

  Body only from south africa Tsh. 2.5m piga namba 0652492329
 16. kalovha

  Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

  Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
 17. Shadow7

  Majestic birds caught by the camera

  IMAGE SOURCEALEJANDRO PRIETO / BIRD PHOTOGRAPHER OF THE YEAR A photo of a roadrunner stopped in its tracks by the US-Mexico border wall has won the top award in this year's Bird Photographer of the Year competition. The picture was taken by Mexican photographer Alejandro Prieto. "The border wall...
 18. Mr bongo

  CCTV camera installation

  Linda nyumba yako eneo lako la biashara au kazini kwako kwa gharama nafuu kutoka kwetu. Huduma zetu ni za uhakika na usalama kabisa. Pia tunakupa offer ya maintence mwaka mzima bila gharama yoyote. Huduma zetu hujumuisha ✔CCTV camera installation ✔Electric fence installation ✔Air condition...
 19. Mr bongo

  Cctv camera installation Gate motor Electric fance wire fingerprint registry installation welcome

  CCTV CAMERA INSTALLATION ✔Safeway digital security tunakupa huduma za ulinzi na usalama wa mali zako kupitia njia ya kidigital. 💯CCTV CAMERA installation 💯 Electric fance wire installation 💯Gate motor 💯Finger print registry access control...
 20. Mr bongo

  INAUZWA Special Thread: Tunauza na Kufanya installation ya vitu mbalimbali (Kamera, Umeme wa kwenye fensi, Biometry Fingerprint nk)

  BILL COUNTER MACHINE* MASHINE YA KUHESABIA HELA 🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services 🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa 🔺Mawakala wa...
Top Bottom