cctv camera

  1. Sundii

    Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

    Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
  2. Sundii

    CCTV camera moja ya cable inauzwa shilingi ngapi

    Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika. Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
  3. J

    Tunafunga CCTV camera kwa bei ndogo

    Tunafunga cctv camera kwa bei ndogo.. Majumbani.. Sehemu za starehe.. Sehemu za ibada.. Mashambani.. Store.. Dukani... Tupo Ilala - Machinga complex - DSM 0718290779
  4. Roving Journalist

    CCTV Camera zafungwa Soko la Mchikichini Karume (Dar) kubaini wanaochoma moto masoko

    Kufuatia mfululizo wa matukio ya moto ambayo yaliyokuwa yakitokea kwa nyakati tofauti kwenye soko la Mchikichini eneo la Karume, Dar es Salaam kwa sasa soko hilo linadaiwa kuja na mikakati mipya kwa lengo la kuthibiti matukio hayo yasitokee na hata yakitokea kusiwepo na athari kubwa zaidi kama...
  5. Kaka Ibrah

    SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  6. N

    CCTV Cameras Installation

    OFFER OFFER OFFER CCTV CAMERA KIT AND INSTALLATION Pata huduma bora ya kufungiwa Cctv Camera kwa Bei nzuri , tunafanya kazi mikoa yote karibuni. Camera zetu zina rekodi picha yenye rangi masaa 24 mpaka gizani na zina uwezo wa kurekodi sauti. 💢CCTV camera 4 channel kit & Installation 4...
  7. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Mkoa aagiza shule zote za Sekondari za Dodoma kufunga CCTV Camera

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya...
  8. Z

    Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
  9. N

    Tunafunga uzio wa umeme (Electric fence)

    ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter) fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa. Piga...
  10. FRANCIS DA DON

    Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

    Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani...
  11. sky soldier

    Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

    Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
  12. Top gun maverick

    Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

    Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
  13. Mr bongo

    CCTV camera installation

    Linda nyumba yako eneo lako la biashara au kazini kwako kwa gharama nafuu kutoka kwetu. Huduma zetu ni za uhakika na usalama kabisa. Pia tunakupa offer ya maintence mwaka mzima bila gharama yoyote. Huduma zetu hujumuisha ✔CCTV camera installation ✔Electric fence installation ✔Air condition...
  14. Mr bongo

    Cctv camera installation Gate motor Electric fance wire fingerprint registry installation welcome

    CCTV CAMERA INSTALLATION ✔Safeway digital security tunakupa huduma za ulinzi na usalama wa mali zako kupitia njia ya kidigital. 💯CCTV CAMERA installation 💯 Electric fance wire installation 💯Gate motor 💯Finger print registry access control...
  15. Mr bongo

    INAUZWA Special Thread: Tunauza na Kufanya installation ya vitu mbalimbali (Kamera, Umeme wa kwenye fensi, Biometry Fingerprint nk)

    BILL COUNTER MACHINE* MASHINE YA KUHESABIA HELA 🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services 🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa 🔺Mawakala wa...
  16. steve_shemej

    Jinsi ya kutumia simu yako kama CCTV camera

    Ni raisi sana kuiset smartphone yako iwe kama CCTV camera, IPwebcam ndio suluisho la tatizo ilo. Fatana name mpaka mwisho wa Tutorial hii. IPwebcam is easily the best of the lot because it works through your browser, which gives it the cross platform compatibility. Ili kuset simu yako iwe kama...
  17. THE SHADOW ONE

    Karibu tukuhudumie kwa huduma ya nyumba yako (Wiring, kupaka rangi, kuweka CCTV Camera)

    Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems. Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika. Hutajutia huduma zetu popote tupo. Biashara ni uaminifu huna haja ya kuni-pm.
  18. Fundi Madirisha

    Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  19. Shadow7

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera

    Habari, Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera kwenye nyumba ya familia pamoja na gharama zake. Nawasilisha.
  20. Mtukudzi

    Baada ya leseni za Drones serikali igeukie CCTV Camera

    Tanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya umma na Mamlaka za serikali za Mitaa. Baada ya kugundua chanzo kipya ambacho ni leseni za kurusha ndege zisizo na...
Back
Top Bottom