Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
Wapinzani wasichojua sisiemu hawatabanduka madarakani kwa njia za kidemokrasia bali kwa vurugu za panya roads.
Neema ya kuwang'oa sisiemu haiko kwenye masanduku ya kura bali siku ambayo panya roads watakapoamua kufanya kweli na hiyo siku haiko mbali.
Wapinzani wanalia na katiba mpya ambayo...
Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha.
Yapo mawazo yanayowataka vijana wajiajiri,kinadharia ni dhana nyepesi kuizungumza lakini ngumu...
JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION
Utangulizi
Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la watu hususani vijana ambao huhitimu masomo yao huku nafasi za ajira...
Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania.
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora.
Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla.
Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila ajira ni chache, hivi tujiulize kidogo, tumewahi kubuni ajira ambazo hazijafikiriwa bado?
Ni wazi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima.
Lakini pia aliongezea...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wabunge wengi waliochangia kamati ndogo ya sheria na ajira kuna kubebana sana kwenye SECRETARIAT ya ajira. Wabunge wamesema siku hizi kuna kanda watu wake hawaajiriwi kabisa.
Kuna vimemo vinawataka wabunge watie mkono ili ajira zitoke. Je NEPOTISM inatokea ndani...
Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
Tanzania ni moja Kati ya nchi nyingi duniani ambazo zimekubwa na tatizo la ukosefu wa ajira, Hali ambayo imepelekea matatizo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa ajira rasmi hupelekea makundi ya vijana wasomi wasio na kazi kuongezeka katika jamii zetu, hali inayopelekea kuongezeka kwa makundi ya...
UTANGULIZI
Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo athari za ugonjwa wa virusi vya Corona pamoja na vita...
Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala.
Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana.
Ili elimu yetu iweze kutumika kupunguza tatizo la ajira inapaswa kufanya yafuatayo;
(1)Kabla ya kutoa elimu kwa mtoto inapaswa...
Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
NAOGOPA
Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
UTANGULIZI: Chuo kikuu ni ngazi ya juu zaidi ya elimu nchini tanzania na duniani kwa ujumla ambayo inamuwezesha mwanafunzi(Mwanachuo) kupata maarifa na ujuzi maalumu. Mfano;Udaktari, Ualimu, Sheria, Masuala ya uchumi na biashara, Masuala ya habari, na mengine mengi yatolewayo vyuoni.
MJADALA...
MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
1.0 Ikisiri
Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.