mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigeria: Mgombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani

    Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC. Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo yalichakachuliwa. Inadaiwa waliopiga kura ni 28% ya Wanigeria waliojiandikisha huku wengine...
  2. B

    Chief Karumuna mgombea ubunge (CHADEMA) Bukoba mjini afunguka alivyotekwa 2020

    25 February 2023 Bukoba, Tanzania MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA TOKA KIWANJA CHA MAYUNGA BUKOBA Mbunge wa roho za watu katika jimbo la mioyo ya wakazi wa Bukoba mjini afunguka alivyotekwa na wenye bunduki 4 kwenye uchaguzi wa 2020. Hayo yalijiri wakati CHADEMA walivyofungua mkutano wa...
  3. K

    Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

    Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura. Katika mkutano huo pia...
  4. J

    Wajumbe Tuna imani sana na Mohamed Ali Mohamed (KAWAIDA) Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM TAIFA

    Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
  5. Bashiru anafaa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Ufipa changamkeni

    Hatimaye fursa imekuja mlangoni kabisa mwa makazi ya Ufipa. Huyu katibu mkuu wa zamani atawafaa sana Ufipa kuwa mgombea wao wa urais endapo atajitoa au kufukuzwa CCM kufuatia hili sakata lake linaloendelea. Mimi kama mtu ninayependa kuona upinzani unastawi basi ninawasihi ndugu zangu kwa kipindi...
  6. J

    Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

    Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa. Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
  7. Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

    Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja. Je, Polisi watachukua hatua yoyote? Pia soma: - Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa - Kada...
  8. M

    Amini Amini Nawaabieni: Mgombea ajae akiahidi hili amepita kwa kishindo

    Mgombea yeyote hata asipofanya kampeni kabisa..Ila siku Moja akawa live kwenye tv akautangazia umma kuwa pindi akiwa Tanzania one atafuta TOZO aina zote...!! Baada ya kutamka hivyo nchi itazizima Kwa furaha na Wala asiendelee kuzungukwa mikoani kuchomwa na jua Bure asubiri tu siku ya uchaguzi...
  9. Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  10. Mtu huyu akisimama na mgombea wa CCM mwaka 2025, ni lazima CCM tuangukie pua

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 au 2030, yanahitajika mambo matatu. 1) Kwanza: kinahitajika chama imara cha upinzani...
  11. Kenya 2022 Bilioni 3.9 za Mgombea Mwenza wa Urais Kenya zataifishwa na Serikali

    Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi alivyozipata kutoka kwa Mashirika ya Serikali. Mnamo 2020, Mahakama Kuu ilizuia kuhamisha au kutumia fedha...
  12. Kenya 2022 Mfahamu George wajackoyah: Mgombea urais Kenya anayesisimua kwa Bangi na sumu ya Nyoka

    Mgombea George Wajackoyah Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
  13. Eng. Hersi usipigie debe mgombea mmoja kiti Cha makamu wako

    Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club. Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku cha kura. Wacha kila mtu...
  14. Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo. Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo. 1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke. 2. Form yakwanza...
  15. Kenya 2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  16. Kenya 2022 Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga

    Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu. "Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye hatakuwa koti la ziada. Baada ya kutafuta na kutafakari, pamoja na mashauriano, nimefikia uamuzi...
  17. Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
  18. N

    Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

    Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii. Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais...
  19. J

    CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

    Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu. Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga. Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…