mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Mgombea Ubunge CCM: Tutahakikisha Kawe inapiga kihatua kimaendeleo

    Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi. ===================== Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
  2. Just Pray

    GE2025 Mgombea Urais CCK: Serikali ya CCK tutasimimamia harusi za vijana wanaotaka kufunga ndoa

    Wenye ndoto za kuoa na Mahali ni kipengele baasi tumsikilize huyu mgombea wa CCK == CHAMA cha Kijamii (CCK) kimewataka Watanzania, hususan vijana, kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Udiwani unaotarajiwa...
  3. W

    GE2025 Paul Makonda amwaga machozi akielezea sababu iliyompelekea kugombea ubunge, asema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu

    Wakuu Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi === Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo. Makonda ameeleza...
  4. McLaren

    GE2025 Mgombea Urais AAFP: Nitachimba bwawa la mamba Ikulu, mafisadi watadumbukizwa huko waliwe hadi kuisha

    Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) kimesema endapo kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitaanzisha hatua kali dhidi ya vitendo vya ufisadi, ikiwamo kujenga bwawa maalumu lenye mamba Ikulu kwa ajili ya kuwachukulia hatua mafisadi. Kauli hiyo imetolewa leo, Jumatano Septemba 17...
  5. McLaren

    GE2025 Mgombea Ubunge Monduli Issack Kadogoo: Lowassa aliniambia siku moja utakuja kuwa Mbunge wa Monduli

    Mgombea wa ubunge katika jimbo la Monduli Mkoani Arusha Issack Corpion Kadogoo akizungumza kwenye kampeni amesema kuwa Hayati Edward Lowassa alishwahi kumwambia kuwa atakuja kuwa Mbunge wa Monduli Ikumbukwe kuwa mtoto wa Edward Lowassa alikatwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa CCM kwenye hili...
  6. Just Pray

    GE2025 Nape Nnauye: Samia ndiyo mgombea original, wengine photocopy

    Mgombe Ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Moses Nnauye amewasisitiza wananchi wa jimbo la Kilwa Kaskazini kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kumchagua mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan sambamba na Mbunge na Madiwani wake kutokana na kile...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais (AAFP): Nitatoa Trekta kwa kila kaya

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kugawa trekta 2 kwa kila kaya kumi katika kata ya Ifakara Mkoani Morogoro. Pia ameahidi kuwapatia Vijana wenye umri kuanzia miaka 18 mashine aina ya power tiller kwa kila kijana ili...
  8. Just Pray

    GE2025 Mgombea urais kupitia CCK aahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35

    Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Kijamii (CCK), Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35 ilikuboresha maisha ya vijana, kwa upande mwingine Kibonde ameahidi kutoa elimu bure kuanzia elimu cha awali hadi chuo kikuu.
  9. Roving Journalist

    GE2025 Kesi ya Mpina kuzuiwa kugombea Urais Kupitia ACT inaendelea leo Septemba 8, 2025 Saa 8 Mchana Mahakama Kuu Dodoma

    Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
  10. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea viti maalum Iringa: Ulitumia rasilimali za nchi kujali utu na uhai

    Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Iringa amesema Rais Samia atakwenda kuwekwa kwenye historia kwa kutumia rasilimali za nchi kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya . Ameyaeleza hayo katika muendelezo wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025 ,ambapo amesema alama imewekwa kwa...
  11. Roving Journalist

    GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  12. PendoLyimo

    GE2025 Mapokezi ya mgombea mwenza wa Urais CCM, Mbogwe

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais (NLD): Mbunge analipwa mshahara wa millioni 12 uzalendo uko wapi?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
  14. kyagata

    GE2025 Mgombea ubunge aahidi kuwapatia wananchi UJI huko Lindi

    Wakuu mimi Nimeshangaa kidogo,huyu mgombea ubunge huko mkoani lindi ameahidi kupatia wananchi uji. Hivi hawa wanasiasa wako serous kweli?
  15. McLaren

    Mgombea Urais chama cha MAKINI: Tukishinda tutagawa bodaboda bure

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa ajili yao ili wajiajiri.
  16. S

    Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  17. S

    Niko njiani naelekea Sumbawanga nikanunue radi ya kumtupia mgombea urais

    Unadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi?? Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
  18. JanguKamaJangu

    GE2025 Chama cha NLD chaomba radhi kwa kusitishwa kwa shughuli za kampeni za Mgombea Urais mnamo Agosti 31, 2025

    TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
  19. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais Zanzibar atinga na Bodaboda kuchukua fomu

    Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu
  20. GENTAMYCINE

    Kumbe Mgombea wetu anajua pia Kucheza mziki, achilia mbali Kurembua na kukata Viuno hata akiwa ameketi Kitini?

    Nimesema Mgombea na sijataja Jinsia wala eneo au nchi sasa Wewe jipendekeze ujae katika 18 zangu nikunyooshe Oky?
Back
Top Bottom