Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.
Wakuu mimi niko salama!.
Nirudi kwenye mada nimekuja kugundua target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke kabisa, ingekuwa ni mwanamke basi eva alipokula tu lile tunda biashara ingeishia pale pale lakini kwanini sasa ilimfikia mwanaume?, kumaanisha kwamba target ya nyoka ilikuwa ni mwanaume...
sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza kukichezea kifo mfano ukaweza kuota kiungo kama kimekatika,ukapona hata kama umekufa.Kuna sehemu nyingi...
KUJIVUA GAMBA KWA NYOKA HAKUMFANYI ASIWE NYOKA. MSALITI NI MSALITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Usidanganywe na Werevu wake. Nyoka ni nyoka.
2. Nyoka anapojivua gamba ili aonekane mpya. Kabadilika ni mbinu ya kimedani. Sio kwaajili yako. Ni kwaajili yake mwenyewe.
3. Kimahusiano...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha.
Anasema tukio la ajabu kabisa, wakili mmoja alikuwa akipigwa mahakamani kama watu wanaua nyoka. Niliona wakipiga wakili Mahinyila. Na wengine ukiwauliza...
Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza
Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za kijadi.
Ila ajabu ya nyoka huyu ni kwamba indapo utamchanganya na nyoka wengine basi utakuta wote...
wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
Kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na chombo cha habari cha Azam tv tanzania kikiwa nukuu ya kuwa uking’atwa na nyoka huruhusiwi kufunga kamba juu ya kidonda, kuchanja wala kunyonya sumu kwa mdomo. Unachopaswa kufanya ni kutulia kwanza ili kupunguza msukumo wa damu.
Dai hilo...
Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume.
Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho.
Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
My people,
Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu
Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu.
"Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya Nyoka "Snake" yakiwa fresh yanafaa kwa binadamu kula na asipate madhara yeyote?Kwa wale wataalamu wa...
Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri.
Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao ina silaha madhubuti ambazo ni makucha makali na meno mchongoko.
Paka wakitaka kuua lazima wamtese...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.