Wajumbe Tuna imani sana na Mohamed Ali Mohamed (KAWAIDA) Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM TAIFA

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
658
821
Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe kutoka hadharani kwa wingi wao katika kumuombea kura kwa wajumbe wenzao kimevuta hisia za Wajumbe wengi kumkubali na kuhaidi Kuwa siku ya Uchaguzi watampa kura za Kishindo.

" Unajua ndugu Mwandishi huyu kijana tumefanyanaye kazi nyingi sana za Jumuia Upande wa Zanzibar na upande wa Tanzania Bara mara zote amekuwa akijitoa sana katika kuwatumikia Vijana wenzake huyu ni WA kwetu wote " - Aliyasema hayo Mjumbe kutoka Mkoa wa Mbeya.

Katika kuhakikisha KAWAIDA anashinda Uchaguzi huo ndani ya Jumuia wajumbe wamemuhakikishia ushindi wa Kimbunga kwa Kumchagua kwa kura nyingi sana.

IMG-20221124-WA0229.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom