Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers...
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka 70 so ashajua Miaka 20 ijayo wengi wao watakuwa washarudisha namba kwa mola.
Hiyo NI move nzuri Sana...
Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo
Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni umahiri na uthubutu na uduni wa kusimamia kwa mgombea wa CCM kuwa chini sana au ni nini?
Haiainishi...
Sirari, Tarime – Mara
Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari, wilayani Tarime.
Mashuhuda wanasema kundi la watu wasiojulikana, wakiwa na silaha za moto...
Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais
Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU,
Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa
Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.
Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80 alichukua madaraka mwaka 1986 na tangu hapo ameshinda chaguzi zote baada ya kuondoa ukomo wa mihula...
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.
Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha?
Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo.
Sasa...
Tuseme tu ukweli.
CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.
Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani...
Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo.
Haya yanajiri wiki...
Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama inavyoelezaa kwa mgombea urais vifungu vya sheria 6A(2) na 4(5)b vikieleza sifa za mgombea uraisi...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’
Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo.
Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.