Naibu Waziri Mkuu atembelea Mradi wa JNHPP asema ndio suluhisho la upatikanaji umeme wa uhakika Nchini

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72.

Dkt. Biteko ameyasema hayo Septemba 16, 2023 alipofanya ziara katika mradi huo wa kimkakati na kuongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya kazi kubwa ya kuusimamia kwa karibu mradi huu.
ced17303-2ecb-4a69-94c4-03665fcca7e7.jpeg

64eb1f51-cf97-410a-b3a2-dde4ffd15ba6.jpeg
Amesema "Tunashukuru sana Serikali pamoja na Wizara na TANESCO kwa kuhakikisha ujenzi unaenda kwa kasi licha ya kuwepo kwa changamoto ya upungufu wa umeme unaosababishwa na kupungua kwa kina cha maji kwenye mabwawa ya uzalishaji umeme."

Ameongeza kuwa kwa sasa umuhimu ni Watanzania wapate umeme wa uhakika ambapo suluhisho mojawapo ni kukamilika kwa Mradi wa JNHPP.
photo_2023-09-16_21-14-39.jpg

photo_2023-09-16_21-14-33.jpg
Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme wa Julius Nyerere ulianza ujenzi wake Disemba 12, 2018 na unagharimu kiasi cha shilingi Trilioni 6.5 na hadi sasa mkandarasi amekwishalipwa kiasi cha shilingi trilioni 5.6 cha malipo yote.

Ziara hii inakuwa ya kwanza kutembelea mradi huu wa kimkakati wa Julius Nyerere tangu ateuliwe na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Chanzo: Neema Mbuja, Rufiji
 
Mlisema huo umeme ukiingia kwenye mfumo bei itapungua ghafla mmetugeuka tena kwamba hautapungua bei tena, sasa nataka kujua kimebadilika nini hapo hadi mmepangua gia angani 🤔🤔 au ndio yale yale ya yule bibi kusema umeme utakua elfu 27 alafu baadae akaja kulamba matapishi yake 🤔🤔
 
wasukuma hapo wameshadanganyika kwisha habari yao. akili kumbe sio ukubwa wa mwili ila ni coconut.
 
Hivi watanganyika mna akili kweli!,huyu Naibu Waziri mkuu ana nini cha zaidi.
si anaandaliwa kuja kuwa waziri mwenyewe baada ya mwenyewe kustaafu na ni strategy ya kuwapiga upofu wasukuma wapige kura 2025. au hujui. msukuma ukitaka asitumie akili kichwani, weka hapo cheo au mwanamke mweupe. kwishaaa.
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72.

Dkt Biteko ameyasema hayo Septemba 16, 2023 alipofanya ziara katika mradi huo wa kimkakati na kuongeza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya kazi kubwa ya kuusimamia kwa karibu mradi huu.
Amesema "Tunashukuru sana Serikali pamoja na Wizara na TANESCO kwa kuhakikisha ujenzi unaenda kwa kasi licha ya kuwepo kwa changamoto ya upungufu wa umeme unaosababishwa na kupungua kwa kina cha maji kwenye mabwawa ya uzalishaji umeme."

Ameongeza kuwa kwa sasa umuhimu ni Watanzania wapate umeme wa uhakika ambapo suluhisho mojawapo ni kukamilika kwa mradi wa JNHPP.

Mradi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ulianza ujenzi wake Disemba 12, 2018 na unagharimu kiasi cha shilingi Trilioni 6.5 na hadi sasa mkandarasi amekwishalipwa kiasi cha shilingi trilioni 5.6 cha malipo yote.

Ziara hii inakuwa ya kwanza kutembelea mradi huu wa kimkakati wa Julius Nyerere tangu ateuliwe na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Chanzo: Neema Mbuja, Rufiji

Tanzania bado hata na bwawa bado umeme ni mdogo kuliko mahitaji yatakayo kuwepo mfano

1. Umeme wa treni haujawnza kutumika
2. Viwanda vipya
3. Ongezeka la maendeleo kama nyumba mpya, umeme vijijini
4. Ongezeko la matumizi kama fridge , air condition ….
5. Umeme kupotea kwa kusafiri

Ukitoa hayo hapo tunahitaji bwawa kama tatu
1694884326459.png
 
umeme wa maji ukikamilika utatutosha hadi uwekezaji. ila kuna umuhimu tuwe na source nyingine kwa gas au nuclear.
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72.

Dkt Biteko ameyasema hayo Septemba 16, 2023 alipofanya ziara katika mradi huo wa kimkakati na kuongeza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya kazi kubwa ya kuusimamia kwa karibu mradi huu.
Amesema "Tunashukuru sana Serikali pamoja na Wizara na TANESCO kwa kuhakikisha ujenzi unaenda kwa kasi licha ya kuwepo kwa changamoto ya upungufu wa umeme unaosababishwa na kupungua kwa kina cha maji kwenye mabwawa ya uzalishaji umeme."

Ameongeza kuwa kwa sasa umuhimu ni Watanzania wapate umeme wa uhakika ambapo suluhisho mojawapo ni kukamilika kwa mradi wa JNHPP.

Mradi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ulianza ujenzi wake Disemba 12, 2018 na unagharimu kiasi cha shilingi Trilioni 6.5 na hadi sasa mkandarasi amekwishalipwa kiasi cha shilingi trilioni 5.6 cha malipo yote.

Ziara hii inakuwa ya kwanza kutembelea mradi huu wa kimkakati wa Julius Nyerere tangu ateuliwe na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Chanzo: Neema Mbuja, Rufiji
Suluhisho? Never believe on that!! Ntaamin bwawa likianza uzalishaj at least three years bila kuwepo katika ya umeme!! Hapo ntaamin. Gas tuliaminishwa hivi mara gas inakwenda kua mkomboz wa kuondokan na matumiz ya mkaa, mara tunaenda pata umeme wa uhakika kupitia gas..... Kilichofuata sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72.

Dkt Biteko ameyasema hayo Septemba 16, 2023 alipofanya ziara katika mradi huo wa kimkakati na kuongeza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya kazi kubwa ya kuusimamia kwa karibu mradi huu.
Amesema "Tunashukuru sana Serikali pamoja na Wizara na TANESCO kwa kuhakikisha ujenzi unaenda kwa kasi licha ya kuwepo kwa changamoto ya upungufu wa umeme unaosababishwa na kupungua kwa kina cha maji kwenye mabwawa ya uzalishaji umeme."

Ameongeza kuwa kwa sasa umuhimu ni Watanzania wapate umeme wa uhakika ambapo suluhisho mojawapo ni kukamilika kwa mradi wa JNHPP.

Mradi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ulianza ujenzi wake Disemba 12, 2018 na unagharimu kiasi cha shilingi Trilioni 6.5 na hadi sasa mkandarasi amekwishalipwa kiasi cha shilingi trilioni 5.6 cha malipo yote.

Ziara hii inakuwa ya kwanza kutembelea mradi huu wa kimkakati wa Julius Nyerere tangu ateuliwe na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Chanzo: Neema Mbuja, Rufiji
Lait wamgelijua kuwa hayo maneno yao ni blah blah wasingekuwa wanayatumia kuuhadaa umma

Tunachotaka sisi ni ufanisi na matokeo.
Upuuzi wao wauweke pembeni kwa sasa
 
Mama anataka imani irudi kandabya ziwa...Magu mdogo karudi kivingine...kazi ipoo....Dotto ana kazi kubwaaa kurudisha Sukuma Gang kwa saa 100
 
Back
Top Bottom