Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya “AMKA TWENDE NA SAMIA 2025"
wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Nimewasikiliza G55 kwa makini wana hoja za msingi wanazotoa na dhana nzima ya No Reform No election na changamoto za no election kama mkakati wa utekelezaji. Nimemsikiliza TL kuhusu dhana na utekelezaji wake. Kwa maoni yangu zao la utekelezaji limebuniwa na kuzalisha njia mbalimbali za kufikia...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
ajenda
bora
hii
kuelekea 2025
kuwepo
mfumo
mfumo wa vyama vingi
no reform
no reform no election
no reforms no election
tanzania
tundu lissu
vingi
vyama
vyama vingi
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
Wakuu naomba msaada kwa yeyote anaejua machimbo bora ya mashuka nje na kariakoo ni yapi? Maana huwa naskia tu mashuka ya Uganda, Taiwan, UK, Turkey Nk ila sijajua exactly ni wapi naweza pata tofauti na vitu vingine ambavyo ukihitaji unaenda kucheki Alibaba.
Kwa wanaojua naombeni msaada wakuu
Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote
Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
Habari za asubuhi wakuu.
Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax management officer ii na Customs officer ii.
Kuna dosari nyingi sana niliziona nikahisi ni either...
Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji.
Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.
Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.
Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta...
Remix ya wimbo wa Goodlucky Gosbert Nipe:
Hii lyrics pia ziliandikwa na chatgpt
Tupia nyimbo zako ulizounda kwa AI
Hii ni IDM but ya kiingereza lyrics zimeandikwa na chat gpt
📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako?
Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯
✅ Unakutofautisha na washindani
✅ Inavutia wateja zaidi
✅ Inajenga uaminifu
✅ Inasaidia kuuza zaidi
🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
Website 10 Bora za Kujifunza Digital Skills Mwaka 2025
Katika dunia ya leo, kujifunza ujuzi wa kidigitali si chaguo tena; ni hitaji. Kama unataka kujiendeleza kitaaluma au kuanza safari ya kujitegemea kifedha mtandaoni, kuwa na ujuzi wa kidigitali ni muhimu. Hapa kuna website 10 bora...
Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30
zilituma maombi.
Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa
ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia...
Aslaam aleykum !
Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia,
Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana mabegani,wasimuliaji hawa ni kama ifuatavyo
1 LWANDA MAGERE ,huyu mtu atengwe dunia yake ili tulaza...
Ingetokea wameshinda. Yaani ingekiwa samia Samia samia. Makelele kibao. Kwa kweli tusingepumua.
Kwa sasa.CCM hawana agenda maalumu tofauti na propaganda kuhadaa watu. Mara wajishike kwa wasanii. Mara.chadema wanaleta ebora kifupi ni siasa za maji taka.
Ila.mambo haya yana mwisho wake hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.