Pump ipi bora ya kumwagilia shamba ekari 50 umbali wa mita 800 kutoka ziwani?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi.

Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani.

Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
 
Andika vizuri kwanza
 
Wadau, nina shamba ekari 50 ziko umbali wa mita 700 kutoka ziwa victoria. Ntaka nilime mzao ya mpunga na mahindi kwa kumwagilia. Je ni pump ipi na ya ain gani nzuri inayoweza kusaidia kusukuma maji na kumwagilia shamba kama hilo ilwe inayotumia disel, petrol au solar pump.

Asante
 
Mkuu, hapo tafuta mtaalamu tu. Pump haipimwi kwa distance. Inapimwa kwa:

1. Elevation difference kutoka unapochukua maji hadi unapomwaga
2. Headloss ya system yako.
3. Sunction.

Kuelezea kichwa kitatuuma.

Nashauri hii project kubwa sana mpe mtu kazi.
 
Sahihi kabisa
 
Pump sizing and pipe sizing ni muhimu, Mie nashauri uweke Pump ya 20hp yenye flow rate 90m³/hr _120m³/hr na pipe diameter 110mm_150mm utapata maji ya kutosha kwa project yako bila shida yeyote.
Hiyo pump ndio recommend View attachment 2656856
 
Screenshot_2023-06-14-12-58-56-71.png
 
Tafuta mtaalamu wa mashine ya unga. Nunua hiyo mashine piston 6 kisha akufungie pampu inchi 10+. Hutajuta.

Uwe na mtaji wa dizeli maana ni kubwa.
 
Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi.

Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani.

Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.

Unataka submasible au hii engine pump auvunataka hizi kama zakutumia diesel au petrol.
 
Pump sizing and pipe sizing ni muhimu, Mie nashauri uweke Pump ya 20hp yenye flow rate 90m³/hr _120m³/hr na pipe diameter 110mm_150mm utapata maji ya kutosha kwa project yako bila shida yeyote.
Hiyo pump ndio recommend View attachment 2656856

20HP ni kubwa sana kama atakua nabuwezo wa kuinunua au kama ya mafuta hapo sawa ila kama ya umeme 20HP lazma itakuwa ya 3fase umeme lazma ajipange tena
 
Tafuta engine ya amec 20hp au 24hp na pump tafuta ya muitaliano kams bajeti yako iko vizur au kama haiko vzr tafuta hz pump za kichina zinauzwa hadi laki 3
20221210_090137.jpg
IMG-20221230-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom