UONGOZI BORA: KAZI YA MOYO INAYOGUSA ROHO ZA WATU NA KUENDELEZA TAIFA
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Uongozi bora ni kazi ya moyo inayogusa roho za watu na kuendeleza taifa. Uongozi bora unahitaji kuweka maslahi ya watu na maendeleo ya taifa mbele katika maamuzi na hatua zake. Uongozi bora...
Katika kijiji kidogo cha Arabika, wanakijiji walikabiliwa na ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa viongozi wao. Lakini wakati Imran alipochaguliwa kuwa diwani mpya, alianza kuleta mabadiliko chanya. Alianzisha utawala wa uwazi na uwajibikaji, na kuhimiza wanakijiji kushiriki katika...
UONGOZI BORA HAUHUSIANI NA CHEO, BALI NI KUWAHUDUMIA WENGINE KWA UAMINIFU NA KUJITUMA
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Uongozi ni jambo muhimu katika maisha yetu ya kila siku. Kila siku tunakabiliana na uongozi kwenye sehemu mbalimbali za maisha yetu. Kutoka kwa viongozi wa kisiasa hadi kwa...
Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu.
Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
Habari za saa members wote, leo kwa uchache ningependa kulizungumzia taifa kwa namna linavyo endeshwa.
Mpaka sasa ndani ya taifa letu la Tanzania taaluma nzima ya uongozi imepotea kabisa na siasa za kizandiki zimetamalaki kila pande.
Taifa hili limeshindwa kupata uongozi/viongozi kwa muda sasa...
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea.
Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani na ni bara lililobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa ulimwenguni. Afrika pia inatajwa kuwa ni bara muhimu la kimkakati katika maendeleo ya dunia, Lakini Afrika ina historia ambayo ni giza tupu na imejawa majonzi, manung’uniko,jasho na damu. Historia ambayo...
Miezi kadhaa iliyopita ilionekana kama mwisho wa enzi kwa Barcelona. Awamu za uongozi wa Sandro Rossel na Bartomeu ziliiacha Barca katika hali mbaya ndani na nje ya uwanja. Kurejea katika uongozi kwa Laporta kumebadilisha kabisa uelekeo wa mambo.
Laporta huyuhuyu ndiye aliyeiacha Barca ikiwa na...
Na Peter Mwaihola
Tafsiri Isiyo rasmi inabainisha Uongozi kuwa ni kuonyesha namna ya kufanya kitu, jambo kama vile kuonyesha njia.
Dhana ya Uongozi ilianza Miaka ya zamani Sana kutoka enzi za Ukabaila na ukoloni kwakua jamii lazima iende kwa kuwa na dira maalumu yenye muelekeo.
Uongozi...
UTANGULIZI
Viongozi wanaojitambua na kuzitambua vizuri kazi na majukumu yao ndilo jicho bora katika kutengeneza nchi yenye maono na muelekeo wa kujenga msingi mzuri wa maendeleo kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho .
Uongozi ni wajibu ,dhamana, jukumu, deni unalopaswa kulilipa kwa...
UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI WA KIDEMOKRASIA
Kwa maana ya jumla, demokrasia ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008).
Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja...
Nasoma moja ya vitabu vilivyoandikwa na hayati Julius Kambarage Nyerere, kwa kweli vimejaa hekima na busara.
Naipima Tanzania na vigezo vya maendeleo alivyoainisha Mwalimu Nyerere kwamba ni watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
Bado sijajua Tanzania tunakosa nini katika hivyo vinne!
Je...
Mzee Kikwete aliusifia uongozi wa akina Msolla kuwa anaongoza vizuri klabu ya Yanga. Je, hii ni kweli?
Miaka 4 hujapata kombe lolote ispokuwa Mapinduzi Cup huo ni uongozi bora?
JE, WAJUA?
Maisha ya Kenani yanatupa Somo
- Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa
- Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO
- Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi.
- Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata.
- Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya.
- Mjumbe wa...
Watu wa kwanza wanaotakiwa kulifahamu hili ni viongozi wetu, na wao ndio wawe mstari wa mbele kuhimiza kila mtu ajibidishe kujiletea maendeleo na kwa kufanya hivyo kuipatia nchi yetu maendeeo inayoyatafuta.
Hii ndio kazi ya kwanza muhimu kwa viongozi wetu.
Hatutegemei wawe watu wa kuzunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.