Kutoka Nchini Cameroon 🇨🇲, Mchezaji wa klabu ya Victoria United, Wilfried Nathan Douala ambaye ni Kiungo mwenye umri wa miaka 19, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa msimu huu Nchini Cameroon.
Ikumbukwe kwamba Mchezaji huyo alikuwa miongoni mwa Wachezaji waliokuwa wakiunda kikosi cha...