Search results

  1. Heparin

    SI KWELI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inapokea Maombi ya Wafanyakazi wa Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Mtandaoni

    Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi. Ukweli wake upoje?
  2. Heparin

    Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    "Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa bila kufanyiwa chochote.” Anthony Mavunde
  3. Heparin

    Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Kimeumana hapa near planet Lodge Kin'gori mafuriko, hakuna gari kupita kwenda Moshi wala kuja Arusha, maji yameziba njia eneo la King'ori.
  4. Heparin

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo...
  5. Heparin

    Kuelekea AFCON 2027, hiace zote kupigwa marufuku Arusha

    "Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha” “Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya...
  6. Heparin

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia. Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
  7. Heparin

    Muhimbili yaongeza Gharama za Kuona wagonjwa wa VIP

    Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la wagonjwa wa nje inayoitwa 'NOPD VIP', bei ya kumwona Daktari kwa Kliniki kwa sasa ni Shilingi 100,000/=...
  8. Heparin

    FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Ihefu SC VS Simba SC | NBC League | CCM Liti Stadium, Singida | Aprili 12, 2024
  9. Heparin

    Zambia yakamata kundi la uhalifu wa Mtandao la Kichina linalotumia ubunifu wa hali ya juu

    Ilikuwa "mafanikio makubwa katika vita dhidi ya uhalifu wa mtandao", mamlaka ilisema baada ya uvamizi wa mashirika mengi dhidi ya kampuni inayomilikiwa na Wachina. Kampuni hiyo iliwaajiri Wazambia ambao waliaminishwa walipaswa kuwa mawakala wa kituo cha simu. Kati ya vifaa vilivyokamatwa...
  10. Heparin

    UZUSHI Mawingu yenye Mwonekano wa umbo la Yesu yaonekana Angani nchini Kenya

    Wakuu, Nimekutana na Picha inayosambaa Mtandaoni imeniogopesha sana. Ni mawingu yenye mwonekano wa Yesu, ama kweli siku za mwisho zimefika.
  11. Heparin

    Wachambuzi wanasemaje kuhusu ziara ya Rais Ramaphosa nchini Rwanda

    Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa, ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Rwanda kwa ajili ya kuadhimisha miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi, inaweza kuwa njia ya kukabiliana na uhusiano kati ya nchi hizo mbili na kutafuta suluhu la tatizo hilo alikuja...
  12. Heparin

    FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

    Mashujaa Vs Simba SC | Lake Tanganyika Stadium | CRDB Confederation Cup | Aprili 9, 2024 KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA MASHUJAA
  13. Heparin

    Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  14. Heparin

    Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

    Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji). Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
  15. Heparin

    Marekani: Lori lenye Samaki hai 100,000 lapinduka, wengi wanusurika

    Zaidi ya Samaki hai 100,000 walimwagwa barabarani baada ya Lori lililokuwa likiwasafirisha kudondoka barabarani, hata hivyo wengi wa samaki hao wamepona. Baada ya kutokea kwa ajali hii, samaki takriban 77,000 walidondokea kwenye majani pembezoni mwa barabara kisha kingia kwenye mkondo wa maji...
  16. Heparin

    SI KWELI Picha ya Rais wa Senegal, Diomaye Faye akiwa shambani na mke wake

    Picha hii inadaiwa kuwa ya Rais Mteule wa Senegal, Diomaye Faye akiwa na mke wake. JamiiCheck naombeni ufafanuzi maana nimewahi kuiona sehemu fulani sikumbuki ni wapi, lakini ilikuwa inamzungumzia mtu mwingine kabisa.
  17. Heparin

    UZUSHI Kim Jong Un awashauri Waafrika waanze kutafuta Dini zao ili waendelee

    Wakuu, Nimekutana na taarifa imepostiwa na Times FM ikiwa na maneno yanayodaiwa kutamkwa na Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim kuwa anashangaa jinsi wazungu walivyofaulu kuwaaminisha Waafrika kwamba mitala ni dhambi lakini LGBTQ+ ni haki ya binadamu. Waafrika wanapaswa kujifunza jinsi ya...
  18. Heparin

    Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000. Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu...
  19. Heparin

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
Back
Top Bottom