mashujaa

Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni miongoni mwa viongozi mashujaa na madhubuti sana barani Afrika

    Sote ni mashahidi kwamba, Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa baada ya kufariki Rais hayati John Pombe Magufuli akiwa madarakani, na akatuvusha salama. In fact...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa

    Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau. Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha. Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Taifa la Mashahidi na Mashujaa

    https://youtu.be/2AJc0jjjz9k?si=IBOQqohMS8pQIGn9
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/TFgNAKhXvkA?si=yZRkLlA-39W6CCjA
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Tuwakumbuke George Arnaoutoglou, Sadiki Patwa na Amir Jamal

    Vyanzo vinaelezea mchango wa watu wasio Waafrika na wengine waliosahaulika katika harakati za TANU: George Arnautoglo: "Huyu alikuwa ni mgiriki... mimi nilikuwa napokea pesa kutoka kwa Joja Anatog kusaidia TANU",. Said Kipatwa (Tanga): "Huyu alikuwa muhindu... Mwalimu alimwambia baba sema...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akagua maandalizi ya Siku ya Mashujaa - Dodoma

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba, jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo, Waziri Mkuu ameridhishwa na hatua zilizofikiwa na...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilitembelea makaburi ya Watakatifu ambayo kisiasa huitwa mashujaa

    NILITEMBELEA MAKABURI YA WATAKATIFU AMBAYO KISIASA HUITWA MASHUJAA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Taikon wa Fasihi. Basi nikasema, mimi naam ndio mimi mwenyewe. Nitaenda kwenye makaburi. Yalipo makaburi ya Watakatifu. Tena nikiwa njiani kumbe katika njia hiyo sikujua kuna makaburi mengine...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mashujaa FC Vs Simba Sc Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma, 14 Mei 2026

    Yap Yap ni Leo, Mei 14 2026 Simba ndani ya Msitu mzito wa Sokwe Aina ya Mashujaa FC, Mashujaa wamejiapiza kuikaanga Simba siku ya leo huku Simba wakiweka wazi kuwa kilichowapeleka Kigoma ni alama 3 tu na si vingine, kwani utalii wa kuona Sokwe si jambo lao. Simba leo watakuwa na Presha kubwa...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mashujaa Waliolala Makaburi ya Kisutu

    https://youtu.be/FTL0gAKNrBU?si=QOY--5luLyAfX_GP
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
  14. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  15. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye vitabu vyetu haziwekwi picha sahihi za mashujaa wa majimaji?

    Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mashujaa: Siku tunacheza na Yanga tulikuwa hoi kwa kushiba maana mchana tulikula nao

    Anasema mchezaji mmoja wa Mashujaa ambaye ni mmoja ya Walinzi. Masaa kadhaa kabla ya kucheza na Yanga walikuwa wamekutana na uongozi wa wao na wa Yanga. GSM aliingia ufadhili nao na hivyo baada ya kutiliana saini wakapewa vyakula na vinywaji. Kwa kweli anasifia walikula sana na kufurahi...
  17. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
  18. N

    JamiiForums Tanzania Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nawashukuru mashujaa uchwara wote kwa kuzingatia maonyo yangu. Sasa kuko shwari

    INTRODUCTION : Huyo Mange angekuwa anawapenda na ana nia njema na Vijana wa Tanzania angewatafutia fursa za kazi na Elimu USA. Mashujaa uchwara kila walipolala walitoa treni za kisasa zilizogharimu matrilioni zimekuwa majivu, waliota mwendokasi umekuwa chuma chakavu, waliota nyumba za wananchi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania 'MO29' imeifanya Dunia ijue kila aina uovo unaofanyika Tanzania,'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana....Hakuna tunachowadai mashujaa 'Gen Z'.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania. Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. 1.Utekaji 2.Mauaji 3.Uchakachuaji wa uchaguzi. 'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
Back
Top Bottom