Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani.
Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" ,
😁😁 no bro, you are just dumb
The Worst
Marcostilone
mcTobby
Wakuu habari ya kazi viongozi
Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora"
Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie wapi yani samaki wanapatikana wapi!
Nikijua wanakopatikana na nikajua gharama za kuzipata ndo...
Mwanaume mmoja ameripotiwa kukamatwa baada ya kutuhumiwa kufanya kitendo cha ukatili wa kingono dhidi ya samaki, huku akidai kuwa alifanya hivyo kwa sababu samaki huyo alikuwa na harufu aliyodai kufanana na ya sehemu za siri za mwanamke.
Taarifa kuhusu tukio hilo zimeenea kwa kasi kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu wa Rais uliyofanyika Ikulu, Chamwino - Dodoma leo Agosti 29, 2026.
Katika hafla hiyo Rais Samia...
Tuliambiwa tumesajili Doumbia wa ukweli kutoka ligi kuu ya Mali, tena alikuwa mfungaji bora kwenye ligi hiyo. Hiyo ni taarifa ya kweli.
Lakini ligi kuu ya mali si chochote kitu, si miongoni mwa kumi bora katika mkeka wa ubora wa ligi kuu hapa Afrika. Mkeka huo huu hapa:
Top 10 African Football...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru.
Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?
Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja...
Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwawezesha wananchi wa Wilaya ya Karagwe kuanza kunufaika na uchumi wa buluu kupitia zoezi la upandikizaji wa vifaranga milioni 1.5 vya samaki aina ya sato katika Ziwa Rwakajunju lililopo...
Samaki wanasaidia kuleta mbolea yenye gesi kustawisha mazao kama mipunga,mazao ya kumagria kama maji yake ukiweka kwenye majabari ya mpunga.
Hii mbengu ni aina ya kambale ila mtanishukuru inaitwa Pangasianodon hypophthalmus.Ndani ya miezi sita inaweza kufikia 10-20 na sio jamii ya hapa inatoka...
Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
Kila mtu na anavyoonja ladha kinywani mwake, kuna sisi wengine samaki ni samaki tu bora atengenezwe vizuri hatuchagui maji bahari wala chumvi.
Ila kuna watu wanasema mara samaki wa maji chumvi sio mtamu kama wa maji bahari na wengine wanasema samaki wa maji baridi ni matamu kuliko wa maji...
Kuna huyu samaki hatari anayepatikana Afrika. Kwa kiswahili anaitwa Mbenga. Kwa kiingereza Tiger Fish hasa anapatikana kwenye Mto Congo na matawi yake. Hadi ziwa Tanganyika anapatikana sababu ni sehemu ya system ya mto Congo.
Ni samaki lakini ana meno kama ya mamba au wanyama wengine wakali...
Hamjambo wote!
1. Nje ya kuandika na kusoma soma ninapenda Kuogelea.
2. Sasa Kila wiki ninakuwa na ratiba ya kwenda beach kukata Maji baharini. Kwa Upare wangu mara nyingi naendaga Beach za bure hasa Siku za katikati za kazi. Weekend sio rahisi kunikuta huko.
3. Napenda kuoga Ile kabla ya...
Samaki wasio na mapezi na magamba hawaruhusiwi kuliwa
Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:9-12, yanasema:
9 Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao.
10 Na hao wote wasio...
Mahitaji
1. Samaki
2. Ndizi
3.mchicha
4. Karoti
5.limao
6. Chumvi
Mpalue samaki wako magamba vzr kisha muoshe vizuri baada ya hapo muweke kwenye sufuria weka maji kidogo sana na chumvi kidgo kisha ukamulie ndimu
Washa jiko weka moto mdogo sana samaki asije vurugika
Baada ya hapo weka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.