Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu 👋
WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili ⚡📱
Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2× speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
Mawasiliano ya mtandao wa WhatsApp yalitumika kutuma mamia ya mamilioni ya euro kwa fedha taslimu duniani kote, yakichangia uhalifu uliopangwa na ugaidi bila kumbukumbu ya karatasi, imetolewa na uchunguzi uliofanywa na watangazaji barani Ulaya.
Mawasilinao ya kundi la watu 532, lililoitwa...
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.
Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.
Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi...
Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp, bali wanatumia mbinu za kilaghai (Social Engineering) kuwahadaa watumiaji.
Haya ni mambo muhimu...
Jana usiku saa 5 nilikuwa nashindwa kutuma picha, kila nikituma inaniandikia ''Retry'x
Je, kuna mtu anayepata ujumbe wa "Retry" anapojaribu kutuma picha kupitia WhatsApp?
Watumiaji wengi wameripoti hitilafu hiyo kuanzia jioni, ambapo picha na mafaili yanashindwa kutumwa huku baadhi ya ujumbe...
Habari zenu wakuu
NImefuatilia utendaji wa facebook hasa kwa wajasiriamali na mwinga ukisponsor ads ,hupati traffic na leads za kutosha kama miaka nilipoanza kusponsor mwka 2016 hadi 2020.
Pia naona hata whatsapp business wanlimit mnoo idadi ya wateja kuwasiliana nao. unakuta ukifoward wateja...
Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Ni takribani week 1 sasa.
Nimekuwa nikipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned
Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea...
Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned
Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea message hiyo? Japo kuwa tayari...
Sijajua kuna nini.
Hii huduma imeanzishwa juzi tu badala ya kutumia namba ya simu sasa unaweza kutumia username.
Kumbukeni India kuna wataalamu wengi swala la IT na scammer wengi wapo India.
Au wameanza kutumia username zitakazo tapeli.
Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni.
📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
Salam.
Kuna jamaa ni mmoja kati ya maadmin wa4, sasa amewaondoa uadmin wenzake na kubaki yeye. Anafanya mambo ya hovyo.
Kuna njia gani ya kufanya ili Kumpoka U-Admin?
Note: Kutengeneza group lingine sio option.
Tunatumia WhatsApp kwa sababu ya mazoea tu ya mtaani, lakini kiufundi, Telegram ipo miaka mia mbele. WhatsApp ni kama usafiri wa umma, lakini Telegram ni mnyama mwingine kabisa.
Mambo yako hivi kifupi doti kwa doti: 👇
1. Cloud Storage: Telegram haijazi Memory ya simu yako hata MB moja; kila...
Mwaka 2014 wakati bwana Zuckerbeg anainunua whatsapp kwa dola za kimarekani 19 B watu waliona kama ni uharibifu wa pesa. Haikuwa clear ni kwa namna gani hii app ya kuchat itaweza kuingiza pesa. Fast forward 12 years later, sasa iko wazi jamaa anataka kurudisha pesa zake.
WhatsApp imeanza...
Ukiwa mume mwenye mke zaidi ya mmoja basi kila hatua unayochukua inakubidi uitafakari mara mbili. Hayo yametokea jana baada ya baba mwenye mji wake kumpost mke mdogo kwenye Status WhatsApp
Baada ya mara kwa mara mume kumpost bimkubwa status akaona leo ngoja nimrushe bimdogo nae hewani auze...
Kuna namba ya simu ipo kwenye Contact yangu nimeifutq kwenye Contact imefutika siioni lakini chakushangaza kwenye WhatsApp yangu bado hipo na status zake bado naziona. Nimejaribu kuifuta imegoma naombeni msaada shida itakua wapi.
Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions)
Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui
Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50%
Mpira-20%
Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20%
Fursa za uchumi,biashara-5%
Memes, Quotes-5%
KERO: MATUMIZI MABAYA YA MAKUNDI YA WHATSAPP WILAYANI SIHA
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Siha. Nina kero kuhusu uwepo wa makundi ya WhatsApp yanayotambulika kwa majina ya Siha Development, Siha Unity na Sauti ya Siha. Makundi haya ambayo awali yalikuwa yakitumika kujadili maendeleo ya wananchi...
Anonymous
Thread
makundi
makundi ya whatsapp
siha
udhalilishaji
watawala
whatsapp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.