Search results

  1. Expensive life

    Kama Adam, Farao na Samsoni maanguko yao yalitokana na kumuamini mwanamke. Mimi na wewe ni nani?

    Ni mama zetu sawa, wake zetu pia, huwa tunaenjoy sana mtupapo utelezi ila ni hatari sana hawa viumbe. Ukiachana na sisi wajamba kunani maanguko ya watu wengi maarufu, matajiri, wasanii wakubwa, wanamichezo pale waangukapo basi asilimia 90 wanawake ndio chanzo. Kuna wamba wameenda mbali zaidi...
  2. Expensive life

    Wana Yanga wametoka kugombana na CAF sasa wamehamia kwa Azam TV

    Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.😄😀 Hapo jana baada ya Azam TV kuposti mahojiano waliyoyafanya na Mayele, mashabiki hao...
  3. Expensive life

    Licha ya mapungufu ya Mayele ila pale Yanga kuna kitu hakipo sawa

    Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu. Morrison Feisal Mayele Bangala Shaban djuma Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kimkataba kwenye hivi vilabu vyetu. Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina...
  4. Expensive life

    Machalii wa chuga hatunaga shobo za kishamba

    Ukija na drama zako kulalaleki sisi tuna tunakutizama kisha tuna gonga ile kitu yetu. Tunakupotezea Halafu hao machalii wanaotoka huko dasa laama ndio wanakuja kutuharibia mkoa wetu, maana wana tamaa kinyama, na hawapendi kazi ngumu ngumu ndio maana wanaishia kupoteza marinda yao kizembe...
  5. Expensive life

    Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

    Watu tumeshajikoki tayari kufinya cha mtume, hao bakwata bado tu wanajimumunya? --- Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally amethibitisha kuandama kwa mwezi leo April 09,2024 ambapo amesema kesho April 10,2024 ni Sikukuu ya Eid Al Fitr. “Leo April 09,2024 nimepokea taarifa...
  6. Expensive life

    Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

    Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
  7. Expensive life

    Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

    Endrick mchezaji wa palmers ya Brazil katika umri wa miaka 17 tayari ana mafanikio makubwa ya kimaisha huku akimiliki mtoto mkali wa kula naye maisha. Dah kweli maisha hayapo fear
  8. Expensive life

    Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki. Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo...
  9. Expensive life

    Kufa kiume kunauma sana 😀😀

    Yaani nyie nyuma kuna mwiko mlijua mtamtoa mtoto wa raisi kirahisi hivyo, mcheza kwao hutuzwa, nyie bado ni wadogo sana kupewa lile goli 😀 Safi sana refa umetuondolea makelele hapa town.
  10. Expensive life

    Kumuona nabii kiboko ya wachawi ni laki tano

    Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu. Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema, umri wa miaka 25 tu anatesea na masuala ya uzazi. Mume anataka mtoto, mimba akishika tumbo halikui...
  11. Expensive life

    Tanzania tutafika huku mwaka 2070

    Wakuu kama picha inavyojieleza hapo chini
  12. Expensive life

    Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

    Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha. Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
  13. Expensive life

    Mlioko mikoani msiongopewe hili ndio Jiji hali la Da’s laam

    Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀
  14. Expensive life

    Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

    Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa. Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa. Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima...
  15. Expensive life

    Mwamba anayeruka na mkeo hatoki mbali; ni huyo huyo rafiki yako unayemwita wa kufa na kuzikana

    Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha. Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana...
  16. Expensive life

    Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  17. Expensive life

    Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

    Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
  18. Expensive life

    Uwanja pekee unaoweza kujengwa pale jangwani ni wa kufugia majini

    Wananchiiiii 😃😃😃 nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili. Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi? Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la...
Back
Top Bottom