mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo wa mwingine kama sio hiyari yake mwenyewe. Kama ilivyo kwako mwanaume, sio wajibu wako kumlea mtoto...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Habari za leo watu wa humu. Usiku wa kuamkia leo nilikua na hamu sio poa, si ni kawa namuomba wife anipe, akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu. Sasa wakuu, kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani? Au nikachape za nje?
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo marafiki zako watamfariji mkeo, siku ya msiba wako.

    Siku ukitangulia mbele za haki mkeo atapata faraja kutoka kwa marafiki zako.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mkeo afanye kazi. Andikisha Mali kwa majina yenu au yake. Nje ya hapo huo ni uhuni.

    KAMA HUTAKI MKEO AFANYE KAZI. ANDIKISHA MALI KWA MAJINA YENU AU YAKE. NJE YA HAPO HUO NI UHUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shahidi. Moja ya nguzo kuu za maisha kwa Watibeli ni Kufanya kazi. Kazi ni ibada. Iwe ni mwanamke au mwanaume wote lazima wafanye kazi. Kazi ni shughuli...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkeo simpati, nataka kuja kuwasalimia watoto wangu. Tafadhari mwambie awalete kesho saa 3 asubuhi Matayo Hoteli

    Wanajamvi natumai hamjambo. Ungekuwa wewe ndo mwenye huyo mke Sasa ungemjibu nini baba watoto WA mkeo Hatua gani zingefuata Kwa mkeo ambaye wakati unamuoa umemekuta ana watoto wawili
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

    Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0? Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili...
  8. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Hayo Maisha Unayoishi Humo Ndani na Mkeo Ni Ukiamua Korekodi Utauza Sana

    Vile vimigogoro, fulana na huzuni mnazopitia humo ndani ni biashara tosha. Ila usisahau kazi ya editor, ndoa isije ota mbawa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote

    Mambo ya Imani magumu sana "Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote, kaifum hiyo ni tafsiri ya kwanza na ni lugha ya kiarabu fasaha sio masuala ya ushia. Tafsiri ya pili aina mahala popote kama ni nyumbani, kama ni barabarani, kama ni sokoni. Tafsiri ya tatu ni harituma sehemu wake zenu...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Lucy Mayenga ni ushahidi wa nafasi za Ubunge kwa namna isiyo sahihi

    Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi sana. Kuna wakati nilikuwa nadate dada mmoja mkali sana ana shape na mzuri. akaaanza kunambia...
  11. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumbaka mkeo?

    Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka. Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao. Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama mkeo akiwa rais, utajisikiaje?

    Swali like wazi. Je, ungekuwa na mke rais ungefanya nini? Hebu nidadavulie wanangu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajijua huwezi kumridhisha mkeo kwenye tendo ni ujinga au akili kumkomesha mwanaume mwengine anaeweza kazi ?

    Kama unajijua kabisa 6 x 6 nguvu zimeisha, jogoo hawiki, dakika hufiki ushamaliza, n.k. Mkeo akikwambia huwezi kumridhisha, ukaendelea kubaki nae, siku ukagundua kaanza kutoka nje kwajili ya sex, ni hekima ipi utatumia, kumkomoa anaeweza kazi au kukubali yaishe
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

    Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye sio rafiki yako hawezi kuwa mkeo

    MWANAMKE AMBAYE SIO RAFIKI YAKO HAWEZI KUWA MKEO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Rafiki yako namba moja baada ya Mungu ni Mkeo/Mumeo. Kama hii kwako ni ngumu acha kuoa/kuolewa. Ndoa itakushinda Mapema Sana. 2. Na isipokushinda ukajikaza. Utaishi kwa Mateso na kugugumia. Ndoa ni urafiki...
  16. Palac

    JamiiForums Tanzania Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

    Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa. Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke huyo kuchelewa kurudi nyumbani. NB: Nimeshindwa ipakua hiyo clip, ila nikiipata nitaipandisha hapa
  17. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Usimpuuze mkeo

    USIMPUUZE MKEO Mwanamke akikasirika, mara nyingi huongea kwa maumivu sio logic Usimjibu kwa ubishi, jibu kwa utulivu. Upole wako unaweza kubadilisha hali. Imani yake ikivunjika, hairudi kirahisi. Chunga maneno yako, timiza ahadi zako. Usidhani ndoa ni mwisho wa juhudi za upendo ndio mwanzo...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Unachokitafuta kwa mchepuko,kuna mwanaume anakipata kwa mkeo

    Huo msemo ni ukweli mtupu
  19. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini. 1. Mshahara Wako. Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua. 2. Kazi unayofanya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida mkishibana na mkeo akugeuze mbea hadi muda mwengine unajisahau unaanza kunogewa umbea ?

    Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia. Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza kuuliza kabisa ehee ikawaje, kikafuata nini, na hili bezi sasa duh ! Kuna umbea umekuwa kama Series...
Back
Top Bottom