Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,703
- 5,477
Wananchiiiii ๐๐๐ nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili.
Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi?
Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la jangwani ni pesa nyingi sana itatumika pale.
Mmeshajua bajeti nzima ya uwanja ni tshs ngapi? Hizo pesa mtakopa au mnazo?
Kama mtaingia ubia na taasisi yeyote ili iwajengee uwanja kisha yenyewe pesa yake iirejeshe kupitia get collection au matangazo ya ndani na nje ya uwanja je mmejua itachukua miaka mingapi mpaka kukamili?