abaya

Vazi la abaya ni nguo ya nje yenye urefu mrefu inayofunika mwili mzima, kawaida hutumika na wanawake wa Kiislamu au wale wanaotaka kuvaa kwa heshima

Mara nyingi abaya ni nyeusi au rangi nyingine nyepesi, na inaweza kuwa na mikono mirefu na shingo iliyofunikwa lengo likiwa ni kulinda faragha
  1. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mdada ajapata abaya mpaka sasa kuna elfu 30 apa aje achukue.

    Nipo magomeni kagera aje achukue elfu 30 ya abaya. Vigezo na masharti kuzingatiwa 0767903037
  2. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

    Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya. Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nauza abaya dresses kwa Tshs 50,000

    Nauza abaya dresses, Size l,Xl,2xl&3xl, Bei Tsh 50,000/= Tunapatikana kariakoo Mtaa wa Raha 📞0686841100
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nyie wanawake si mmeuchuna mwezi huu kisa ramadhani sasa mtajua wapi mtaitolea pesa ya Abaya

    Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu 😀
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nauza Abaya kwa bei ya ofa Januari Tsh 30,000

    Nauza Abaya kwa bei ya Januari Tsh 30,000. Nipo Dar es Salaam
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  7. Amosi luvanga

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Baibui au abaya kwa bei ya jumla

    Kwa wale wanaohitaji baibui kwa jumla na rejareja kuanzia bei ya 8k, 10k nakuendelea tuwasiliane 0712094550 tunapatikana JENGO LA MACHINGA COMPLEX KARUME DSM. KARIBUNI SANA 0712094550
Back
Top Bottom