Search results

  1. C

    Ifahamu Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania- Sehemu ya Kwanza (Utangulizi)

    Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo. Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
  2. C

    Naunga Mkono Betting, Kampuni za Kamali, Endeleeni Kuja kwa Wingi Tanzania!

    Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!! Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond Platnumz, hivi karibuni amezindua kampuni ya betting... yaani kampuni ya watu kucheza kamali! Kwa hili...
  3. C

    "Sisi Wazalendo" Tunasema Jenerali Ulimwengu Ameshanunuliwa na Mafisadi, Bring Back Our Jenerali

    Huo ni "UONGO" wa wazi... Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi Jenerali Ulimwengu alivyokuwa na chuki na Rais wetu kipenzi, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kwahiyo...
  4. C

    Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

    Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019. Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema...
  5. C

    Tuache porojo, hii ndiyo sababu ya kwanini Taifa Stars imepoteza. We're exactly where we belong

    Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu! Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua. Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa...
  6. C

    Je, Yanick Bangala Sasa ni Rasmi Yanga?

    Wakati Yanga wakielekea kumtambulisha Djuma Shabani pamoja na Jesus Moloko, wakala Mwenye orodha ndefu ya Wachezaji wa DRC, keshatuwekea picha hapo ili simulizi tuandike wenyewe!! Kama inavyoonekana hapa chini, Faustin Mukandila anatujuza time is loading kabla Yanick Bangala Litombo...
  7. C

    Rais Samia suala la Mikutano ya Kisiasa ni la Kisheria. Huwezi kuomba na kujipa mwenyewe ulichoomba, bila kukubaliwa na wale uliowaomba

    Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
  8. C

    Kupeleka mbele Ratiba ya Yanga vs Azam na Yanga vs Biashara United kulifuata kanuni!

    Kwanza nianze jambo moja... Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu! Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
  9. C

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
  10. C

    Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...

    Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo! Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo...
  11. C

    Utani Mbaya Kwa Rais Wetu...

    Hii nimeikuta huko Twitter kwa member anayejiita Professor Kirusi19
  12. C

    COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

    Suala hili niliwahi kuliandikia post mahali, lakini nimeonelea kulianzishia uzi ili kulifafanua kwa undani zaidi. Katika kuhalalisha hoja ya JPM kulisha maparachichi na maboga test kits za COVID-19, Wafuasi wa JPM wamekuwa mara kwa mara wakitumia hoja kwamba hizi mashine sehemu nyingi duniani...
  13. C

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  14. C

    Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

    Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli! Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
  15. C

    Eti Wanataka Tumpongeze Rais John Pombe Magufuli... Sasa Tumpongeze kwa Lipi Hapa?!

    Lililo wazi ni kwamba, huko nyuma RC wa Dar es salaam, Mh. Paul Makonda amefanya mambo mengi ya hovyo ambayo wananchi hawakuacha kuyapigia kelele! Ulevi mkubwa wa madaraka ulidhihiri wazi kwenye matendo na hata kauli za Paul Makonda! Pamoja na hayo, kwa majivuni, jeuri na kiburi cha kuwa yeye...
  16. C

    Imani Yetu Kuhusu Uwepo wa Mungu Inakiuka Uwezo Wetu wa Kufikiri Katika Kupatia!!!

    ANGALIZO: Kama suala la Mungu ni suala lisilopaswa kuhojiwa, basi mada hii haikufai!! Ukweli mchungu ni kwamba, dunia imejaza watu ambao uwezo wetu wa kufikiri upo below the average! Kutokana na ukweli huo, mara nyingi kama sio zote, upande wa wengi unakuwa ndio upande wa losers na wachache...
  17. C

    Nimeongeza Sifa ya Mwanamke Nisiyetaka Kuoa: Dawa & Hospitali Vinahusu:

    Potelea mbali, bora nisioe tu manake mambo mengine ni kutaka kukaushana korodani! Sina nia ya kupata PERFECT woman coz' I hate perfect (if they exist) partners kwa sababu am not perfect na wala sikaribii! Kinyume chake, napenda ordinary partner lakini si yule aliye below the average! Ili...
  18. C

    CAG: Serikali Yashusha Deni la Taifa

    Anyway, hapo juu nimeongeza chumvi, ndimu, pilipili, kachumbari na mbilimbi kwa mbaaaaali manake nimesikia Dar kuna bonge la pupwe!! CAG hajasema serikali imedanganya deni la taifa bali Serikali Yashusha Deni la Taifa!! Hivi si ndo kudanganya kwenyewe huko; au?! Hebu msomeni CAG kwenye ripoti...
  19. C

    Tukemee Shetani la Linalotushawishi Kupata Katiba Mpya!!

    Moja ya mambo ambayo nayaogopa kwelikweli hivi sasa ni mchakato wa katiba mpya! Nilianza kuogopa mchakato wa katiba mpya mara baada ya makundi kuanza kujitokeza yakidai katiba ibadilishwe eti ili JPM aongezewe muda wakati alikuwa hajamaliza hata miaka miwili! Hofu ikaendelea pale...
  20. C

    Mashabiki wa Arsenal, Acheni Uboya!!

    Hili la uboya linawahusu sana wale wa rika langu... ambao huenda hawakuijua Arsenal hadi wapo wavulana wakubwa! Hivi unaweza kueleza watu hapa ilikuwaje kuwaje na lini ulianza kuwa na mahaba na hii "Saratani ya Moyo?" Hizi Simba na Yanga; sawa tu manake wengi wetu ni timu za kurithi kama...
Back
Top Bottom