mikutano ya kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Sheria ndizo zinaruhusu mikutano ya kisiasa na si polisi

    Ikiwa imepita siku moja tangu Jeshi la Polisi lifungue milango ya kupokea taarifa za nia ya kufanya mikutano ya hadhara kutoka kwa vyama vya siasa na wadau wengine kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizopo kutokanana hali ya usalama kuelezwa kuendelea kuwa shwari,Makamu Mwenyekiti wa...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukisema Hawa ni wana shida nyie mnawatetea, unazuia mikutano ya KISIASA, kisa hatari za kiusalama halafu ufafanuzi unautoa kwenye mikutano

    Tufike pahala tuelezane ukweli Katambi na wenzake tuna kila sababu za kuwapuuza kama kweli tunaitaka nchi yetu iendelee. Wewe unazuia mikutano ya HADHARA ukiwa bungeni,hiyo hatari uliyoiona kwenye kusanyiko la mikutano ya KISIASA, kwani bunge ni kusanyiko la Nini? Kama haitoshi, unatoka hapo...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Katoka Leo kuendelea na Mikutano ya kisiasa? Baada la Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Heche: Kauli ya Katambi kusitisha mikutano ya kisiasa si ya kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amekosoa kauli ya Waziri Patrobas Katambi, akidai kuwa haina msingi wa kisheria na kwamba hana mamlaka ya kufuta mikutano ya vyama vya siasa. Kuhusu katazo la mikutano ya kisiasa, soma Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote...
  5. T

    JamiiForums Tanzania TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kasi ya mikutano ya kisiasa ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Stephen Wasira imewakosesha wapinzani agenda

    Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya. Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Habari zenu Wakuu, Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha. Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu kichama, na kisiasa. Kwa vile huyu anaedhalilishwa na kuvunjiwa heshima hana uwezo, wala ujanja wa...
  10. Lanlady

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  11. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  12. system hacker

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya siasa za CHADEMA mara baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa

    Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa. Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema. Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
  13. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

    Salaam wana jf.baada ya rais Dr Samia suluhu Hassan kutengua zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ,nikama kufunga dirisha lakuingiza hewa Safi ndani ya taifa. Nimeona watu wakifurahia sana Jambo hili si wana siasa tu hata wasiokua wanasiasa pia. Lakini kwa upande wa pili hili ni pigo...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tuwe na busara za kisiasa. Mikutano ya kisiasa sio ishu ya maana hata huko USA na Magharibi chaguzi zikiisha siasa zinahamia bungeni.

    Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno? Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali? Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA tusikenue mikutano ya kisiasa haitatusaidia kisiasa. Kashfa ya kulamba asali ilishatumaliza

    Tuna nini cha kuwaambia wananchi? ~ Tunapinga ufisadi? ~ Tunapinga uharamia wa tozo? ~ Tunapinga vipi wakati tunalamba asali na wanaokandamiza wananchi?
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania UVCCM Mbeya kufanya maandamano kumpongeza Rais kuruhusu mikutano ya kisiasa

    Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM. Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini. Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RIPOTI: Mapendekezo 19 ya Kikosi Kazi cha Rais Samia kuhusu uendeshaji Siasa nchini

    1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili: a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa mamlaka ya kuishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama kweli mikutano ya kisiasa ya hadhara imezuiliwa Mbona Ado Shaibu wa ACT Wazalendo anafanya mikutano ya hadhara? Au CCM inabagua?

    Ingekuwa sisi CHADEMA tungepata tabu kwa kufanya mikutano ya hadhara. Ila hawa jamaa wanaruhusiwa tu. Huu ni ubaguzi.
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hata kabla ya taifa letu kupata uhuru mikutano ya kisiasa haijawahi kuzuia watu kufanya kazi. CCM isipotoshe na kutuoenea wapinzani.

    Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya. Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi kufanya kazi zao. Mbona hata kabla hatujapata uhuru TANU ilikuwa inafanya mikutano ya hadhara na...
  20. Informer

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Tanzania haijazuia Maandamano wala Mikutano ya Kisiasa!

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali haijazuia maandamano na mikutano ya kisiasa isipokuwa wanaandaa utaratibu rafiki utakaotumika pasipo kuvunja sheria za nchi. Kabudi amesema kuwa inatambua umuhimu wa mikutano ya siasa na pindi utaratibu utakapokamilika...
Back
Top Bottom