ifahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Venus Star

    Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali ya sasa ya kiuchumi. HISTORIA Iran(Uajemi au Persia) tunayoiona hivi leo imeanza kujengwa miaka...
  2. W

    Ifahamu Historia fupi ya Edward Moringe Sokoine

    Mfahamu Sokoine Moringe Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984). Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka Monduli, Tanzania. Alijiunga na Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) mwaka 1961...
  3. K

    Ifahamu miamba ya siasa za bongo kulingana na kanda

    Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye siasa zetu miamba hii na bila shaka mwanzo wa mwisho wa kipindi hiko umefika. Na hii ndio miamba...
  4. Damaso

    Ifahamu Bendi ya Kassav

    Habari Wakuu, leo nimeona ni vyema nikawashirikisha kidogo kuhusu bendi moja ya zamani kidogo ambayo ilitupatia burudani sana miaka ya 1990 enzi hizo wakati ambao tulikuwa tunaonesha ujuzi wetu wa kusakata rhumba vyema ingawa hata mashairi tulikuwa hatuyafahamu. Karibu sana. Bendi ya Kassav...
  5. Ibun Sirin

    Ifahamu 'Bahati' inavyopatikana katika maisha ya mtu

    Bahati ni jambo au matukio yasiyowezekana, yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Kwasisi wanaadamu matukio chanya na hasi yanaweza kutokea wakati wowote, kwa sababu ya michakato ya asili na isiyo ya nasibu, na kwamba hata matukio yasiyowezekana yanaweza kutokea kwa bahati nasibu. Kwa mtazamo huu...
  6. Damaso

    Ifahamu Meguro Meguro Parasitological Museum: Makumbusho ya Vimelea.

    Habarini Wakuu! Pole kwa wagonjwa wote Mungu aendelee kuwapambania na mkapate afya njema! Kwa wale ambao wapo wazma basi Kazi iendelee. Japani ni mojawapo ya nchi zenye ustaarabu wa kale wa pekee sana na ina historia nzuri na tofauti na nchi zingine duniani. Mandhari ya kustaajabisha na...
  7. Mr Why

    Ifahamu maana halisi ya "Mmbea"

    Mmbea ni mtu anayechukua habari za jambo au mtu fulani na kuziongezea chumvi huku akizisambaza kwa watu wengine. Mmbea huna haja ya kumweleza jambo kwa upana wewe mweleze kwa ufupi kwasababu ni mmbea anaujuzi mkubwa sana wa kukamilisha taarifa kutokana na taaluma yake ya maswala ya umbea.
  8. 100 others

    Hezbollah wana nguvu kiasi gani kama Jeshi?

    Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon. Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na wakristo. Hezbollah wapo vizuri hasa katika kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi kama ilivyotokea First...
  9. B

    Ifahamu Nchi ya United Arab Emirates

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia inaitambua Nchi ya United Arab Emirates ambayo ndani yake yapo majimbo saba : Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain na Fujairah huku jimbo la saba la Ras Al Khaimah ilijiunga na Shirikisho la UAE mwaka 1972. Huku mji mkuu wa nchi ya UAE ikiwa...
  10. The Supreme Conqueror

    Ifahamu "Deep Government Obsever"

    "Deep government observers" ni wachambuzi na wataalamu wa masuala ya siasa, serikali, na utawala wa nchi, ambao wanachunguza shughuli za serikali na uongozi wake katika kiwango cha kina zaidi kuliko wataalamu wengine wa masuala hayo. Huduma yao ni muhimu sana katika kufanya uchambuzi wa kina...
  11. Rakims

    Ifahamu Cosmic energy ni nini

    Vipindi katika vipindi vilivyopita niliwaahidi kwamba nitafundisha kuhusu Cosmic energy hivyo katika makala na video hii nitakufundisheni mambo yafuatayo: ni nini cosmic energy? ina kazi gani? ina faida gani? ina msaada gani kwa mtu mwenye kuipokea? kwa nini huitwa zawadi katika zawadi za...
  12. Zacht

    Ifahamu water witching na maajabu yake

    Water witching au kwa jina lingine inafahamika kama dowsing ni Njia maarufu na ya kale inayotumika kutambua uwepo wa maji chini ya ardhi ,Yani kama unataka kuchimba kisima Cha maji sasa ili kutambua ni sehemu gani Kuna mwamba wa maji unatumia Njia hii . Njia hii inasemekani ni ya muda mrefu...
  13. Wakili

    Ifahamu bangi na madhara yake

    Habari wapendwa, Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko. Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona...
  14. Themoneyhollic

    Ifahamu ChatGPT - 3 & 4

    Hello naimani umzima, naitwa Sucrose the Moneyhollic Ni mtalaam wa mambo ya Technolojia, Nimeona nikupe fursa yakujadili tekinolojia mpya duniani iitwayo Artificial intelligence AI (ChatGPT3 na ChatGP4(latest one)) ambayo imewapatia mabilioni ya pesa watu walioifahamu siku chache Hapo nyuma...
  15. Poker

    Ifahamu ishara ya tandu, jongoo, sisimizi na popo nyumbani kwako!

    Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako. Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula...
  16. C

    Ifahamu Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania- Sehemu ya Kwanza (Utangulizi)

    Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo. Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
  17. S

    Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010. Majukumu ya...
  18. Championship

    Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

    Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa: 1. Salim Ahmed Salim (Chair) 2. Martti Ahtisaari 3. Aicha Bah Diallo 4. Mohamed ElBaradei 5. Horst Köhler 6. Graça Machel 7. Festus Mogae 8. Mary Robinson
  19. GENTAMYCINE

    Ifahamu SIRI hii kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa faida yako maishani

    Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo: 1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani. 2...
  20. OLS

    Ifahamu 'Competence Based Curriculum' (CBC) ambayo haitamuacha nyuma mtoto yeyote

    Elimu ya sasa wanafunzi huandaliwa kufaulu mitihani bila kukuza uwezo binafsi walionao hali inayoua vipaji vya wengi na kutokomeza ndoto za watoto kadhaa waliopo nchini. Mfumo unaotumika kwa sasa ni mfumo wa 7-4-2-3 ukiangalia miaka ambayo mtu anaitumia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu...
Back
Top Bottom