Huo ni "UONGO" wa wazi...
Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi Jenerali Ulimwengu alivyokuwa na chuki na Rais wetu kipenzi, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kwahiyo hatuwezi kushangaa kuona gazeti lake linatumika ili kujaribu kuua legacy yake!!
Au mnasemaje Wazalendo wenzangu akina TUJITEGEMEE na macho_mdiliko, na Kichuguu ?!
Au anamuogopa Ndugai ambae sote tumesikia majuzi wakati Ndugai akimpiga mkwara General!!!
All the best GUYS...
It's my Year End Holiday Time...
See y'all in 2022 if am not dead!!