test

  1. Pinacoladee

    PSRS aptitude test experience

    Hello job seekers, Sekretarieti ya ajira (PSRS) umeanzisha utaratibu mpya wa kufanya written interview online(aptitude test) mitihani hii imefanyika kwenye kila mkoa Tanzania nzima kwa vituo vilivyoanishwa. Hivyo basi Leo tar 6 umefanyika mtihani ambao unajulikana kama aptitude test wameanza na...
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    DNA test should be conducted immediately after child birth

    If possible it should be conducted during pregnancy so the man can hands off the woman before child birth Let the real father take over. Women needs to start facing the consequences for their cheating.
  3. philanthropistx1

    Kuitwa Aptitude Test TCB

    Nimeitwa aptitude test wakati sina cheti cha shahada inayohitajika. Naomba ushauri.
  4. M

    Hizi Oral HIV test zina uhakika kiasi gani?

    Jamani hebu wataalamu niambieni. Maana mie ngoma ninayo miaka 20+ situmii ARV lakini nimepima zile oral mara tatu zote zinasoma negative. Sasa sijaelewa hii inakuwaje
  5. T

    NMB Direct Sales Staff Aptitude Test

    Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Nina maswali kadhaa kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Direct Sales Staff. 1. Maswali common yanayoulizwa kwenye aptitude test ni yapi? 2. Je ukifanikiwa kupita kwenye aptitude test inachukua muda gani...
  6. Jocasta

    Msaada Juu ya kipimo Cha HB level test

    Habari za mwaka mpya ndugu zangu. JUZI Mrs alikuwa anasumbuliwa na mafua pamoja na kichwa ambavyo vimedumu Kwa mda mrefu Sasa, ikabidi nimpeleke hospitalini. Alipoeleza dalili hizo Swali la dokta:au una ukimwi?. Akamwambia inabidi ukacheki damu!!! Nilipofatilia vipimo alivyofanyiwa nikakuta...
  7. C

    Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

    Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF). Mbarikiwe
  8. Jumanne Mwita

    Hata kama unajua ni muhimu kujikumbushia nakuletea - basic driving test

    BASIC DRIVING TEST 1. Taja makundi ya alama za barabarani 2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari 3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili. 4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya...
  9. Joe Navarro

    Micah Richards: Alikuwa hajui neno lolote la Kitaliano. Alikutana na mwenyeji wake ambaye ni Balotelli

    Micah Richards Siku ya mwisho ya dirisha la usajili aliangukia mikononi mwa Fiorentina. Alikuwa hajui neno lolote la Kitaliano. Alikutana na mwenyeji wake ambaye ni Balotelli. Katika zoezi la kumtambulisha kwa meneja wake akamuuliza Mario nasalimiaje ? Mario akamjibu "Testa Di Cazo " manake...
  10. mdukuzi

    Suala la DP World ni IQ Test kwa Watanzania, tumewajua vilaza na vipanga

    Kuna watu walionekana wana IQ kubwa kumbe ni vilaza wa kutupa, kuna wengine tuliwachukulia poa kumbe kichwani zimo. Tumeshawajua vilaza wa Taifa na vipanga wa Taifa. Mtu anadiriki kusema kuwa wengine wanahoji kuhusu bandari wakati hawapajui bandarini,mwingine anahoji kuwa bsndari ilianzishwa...
  11. K

    Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
  12. Mrs Habib

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Nmejaribu tangu muda walioweka nakuwa rejected sijui shida imekuwa nini na muda umeisha kuna yeyote aliepata shida kama yangu kazi ndo imepita hivyo
  13. A

    DOKEZO University of Dar es Salaam Business School (UDBS), kuvuja kwa mtihani (test) ya Information Management Systems (IM 305), uliofanyika tarehe 18/01/022

    Wakuu, Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya...
  14. P

    NMB amptitude test

    Wakuu ambao wamefanya amptitude test ya nmb Direct sales staff vipi wameitwa kwenye oral au bado
  15. Mathanzua

    Covid mandates and associated tyranny was a “test” to determine whether the world is ready for a new globalist system of "social credit score"

    The World Economic Forum(WEF )proudly claims that “billions” who obeyed lockdowns and mask mandates will also comply with new globalist “social credit scheme” because they are the stupid lot. It has finally been revealed and we knew this all along that Covid-19 lockdowns, mask mandates and...
  16. M

    Test your airbag here!

    Huwa naona maneno hayo yameandikwa kwenye trela za magari makubwa naamini wengi wetu tumeona pia. Yawezekani ni kichekesho ila kwangu naona kuna maana kubwa kwenye huo msemo suala ni uimara wa chombo chako endapo utagonga hilo trela ama utagongwa kwa mbele yaani uso kwa uso (head on crash or...
  17. Nyenyere

    Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

    Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
  18. BigTall

    Finland: Waziri Mkuu apimwa kubaini kama ana vimelea vya dawa za kulevya

    Waziri Mkuu wa Finland, Sanna Marin (36) amefanya vipimo vya kubaini kama ana vimelea vya dawa za kulevya ndani ya mwili wake, ikiwa ni siku chache baada ya video kuvuja ikimuonesha akicheza muziki na marafiki zake. Vipimo hivyo vimefanyika jana Agosti 19, 2022 na majibu yanatarajiwa kutoka...
  19. Marumeso

    Matumizi ya HIV Rapid Home Test Kit Yamekatazwa Au?

    Matumizi ya HIV Rapid Home Test Kit Yamekatazwa Au? ◇ Maduka mengi ya dawa hawauzi hizi Kit. ◇ Yale maduka machache yanayouza unakuta wanauza kimachalemachale kama vile wanavyofanya wauza bangi au gongo, ukiulizia ni lazma huyo muuzaji aangalie kulia na kushoto mithili ya mtu anayetaka kuvuka...
  20. MR LINKO

    Basic math test that most people get wrong

    WENGI WATAKOSA HILO HALINA UBISHI? WEKA JIBU LAKO JE JAMAA ALITENGENEZA KIASI GANI?
Back
Top Bottom