Kwanza nianze jambo moja...
Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu!
Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect dot kwa wepesi kabisa hutachelewa kufahamu kwamba TFF walifuata kanuni katika kupeleka mbele mechi tajwa hapo juu tofauti na Haj Manara anavyowalisha ujinga mashabiki wa Simba!
Tuanze na mechi ya Yanga SC na Biashara United ambayo ilichezwa April 17. Tuanze kuunganisha dots kwa kuangalia post ya TFF kwenye akaunti yao ya Instagram:-
Hapo TFF wanatuthibitishia mechi kuchezwa April 17, 2021 saa 1:00 usiku.
April 12, 2021 Yanga SC wana-tweet:-
Utaona hapo, wakati siku ya April 17, 2021 TFF wanatujuza mechi kati ya Yanga na Biashara United inachezwa Saa 1:00 usiku; siku 5 kabla Yanga SC walitangazamechi hiyo kuchezwa April 17, 2021 saa 1:00 USIKU kama inavyoonesha post ya TFF!
Kwa bahati mbaya, sikufuatilia hiyo mechi, na kwahiyo sifahamu mechi ilichezwa wakati gani! Hata hivyo, Tweet hii ya Yanga SC inatoa picha halisi:-
Utaona hapo April 17, 2021 saa 3:09 Yanga wana-post matokeo kati yao na Biashara United wakati mchezo umeshaisha!
Mchezo hadi kumalizika unachukua angalau Dakika 105; yaani 45 + 15 + 45 = 105! Kwamba, ni angalau saa 1 na dakika 45.
Kuanzia muda walio-tweet Yanga kuonesha mchezo umeshaisha (saa 3:09) kisha ukarudi saa 1 na dakika 45 nyuma, utafika hadi saa 1 dakika 24.
Yaani endapo kusingekuwa na dakika za nyongeza, na wala muda kupotezwa kwa namna yoyote ile, na Yanga wange-post hapo hapo mara baada ya mechi kwisha, ina maana hiyo mechi ingekuwa imeanza saa 1: 24!
Lakini kwa kuwa haiwezekani hilo kutokea, basi inaonesha wazi mechi ilianza kabla ya Saa 1 na dakika 24, muda unaoendana kabisa na Ratiba iliyotolewa na TFF hapo juu!!!
Sasa wanaodai mbona Yanga hawakugomea mechi na Biashara United walitarajia wangegomea kwa sababu zipi wakati inaonesha wazi kwamba, hata kama TFF walibailisha ratiba basi walifanya hivyo angalau saa 24 kabla ya muda uliokuwa umepangwa!
Turudi mechi ya Yanga SC vs Azam SC.
Yanga wana
Utaona hapo tangu April 22, Yanga SC wana-tweet kwamba, mchezo utachezwa April 25, saa 2:15. Je, mchezo ulichezwa saa ngapi?
Utaona hapo April 25, saa 10:11 usiku, Yanga wana-tweet kuonesha kumalizika kwa mchezo!! Ukitumia hesbu nilizofanya hapo juu, utaona Mechi ilianza anywhere kuanzia saa 2:25 kurudi nyuma!
Kwa maana nyingine, inaonesha wazi mechi ilianza muda karibu ule ule ambao ulikuwa umetangazwa takribani siku 3 nyuma, na hivyo, kwa mara nyingine, madai kwamba mbona Yanga SC hawakususia mechi ya Azam SC ni madai yasio na msingi!!