hisa

  1. Gumasa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua hisa, ninaanzaje?

    Jambo wakuu! Baada ya kusoma maandiko mengi sehemu mbalimbali yanayohusu ununuzi wa HISA,sasa ninajaribu kufikri kwa kina ili niweze kufanya maamuzi. Ninaomba kueleweshwa kwa ufasaha na uaminifu hatua za kufuata,usalama wa fedha,kiwango cha mtaji na mahali pa kuwekeza ili nipate faida. Ahsante!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niwekeze wapi kati ya hisa au ardhi?

    Siku mmoja tulipa mgeni kutoka wataalamu wa mambo ya uwekezaji akatuma elimu juu y uwekezaji wa hisa, bond nk kwa kweli ilikuwa ni elimu nzuri na niliweza kujifunza kitu. Kitu ambacho nilibaini kila unapoitaji kupata elimu hakikisha unapata elimu kila maeneo ili uweze kujifunza na kupata...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

    Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa. - UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania DSE Soko la Hisa Lavamiwa na matapeliwa wa Kimataifa

    Soko la Hisa Dar es salaam limevamiwa rasmi na matapeli wa Kimataifa. Hawa matapeli wanaweka Page za Insta na Fb na wanataka ufuatw link wakufundisgw namna ya kununua Hisa. Hawa matapeli hakuna hata mmoja mwenye jina la Kitanzania, hakuna namba ya simu wala ofisi zilipo hata kama ni kwenye...
  5. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania TIB RASILIMALI: Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds) Zinafanyaje Kazi? Mwongozo kwa Wawekezaji Wapya.

    Habari wakuu, Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wanunuzi wa Hisa kuweni makini na Brokers

    Habari, Kwa mtu mwenye ndoto ya kununua Hisa za makampuni mbali mbali jiepusheni na Tanzania Security Limited(TSL) Kwa sasa huyu broker ameshakuwa broke embu fikiria kama kampuni inaweza kuzima namba za huduma Kwa mteja siku nzima je Hisa zako zitakuwa salama, kama unaweza kuuza Hisa zako...
  7. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Uwekezaji Katika Soko la Hisa Tanzania

    Je, unatamani kuwekeza kwenye Soko la Hisa Tanzania lakini hujui pa kuanzia? Au unataka kujifunza jinsi ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji kwa kutumia uchambuzi wa kitaalamu? Kozi ya Uwekezaji Katika Soko la Hisa Tanzania ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili kwa wanaoanza...
  8. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Magawio DSE 2026: NMB, Twiga Cement, DSE, Swissport na Mkombozi Bank

    Unawekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE? Hii hapa ndiyo ratiba ya magawio yanayotarajiwa kulipwa kwa wanahisa wa kampuni zilizoorodheshwa DSE. 24 Juni 2026 • NMB Bank: TZS 610.15 kwa kila hisa 30 Juni 2026 • Twiga Cement: TZS 300 kwa kila hisa • DSE: TZS 69 kwa kila hisa, gawio la...
  9. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa 20000000/15380=1,300.39 Ningekua na hisa 1300 Kwa ongezeko la leo 300+ =1300+300=1,600...
  10. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania NMB Yapendekeza Share Split ya 1:10. Fursa Mpya kwa Wawekezaji wa Soko la Hisa Tanzania?

    Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida. Pendekezo hilo...
  11. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania Mkombozi Commercial Bank Plc Yatangaza Gawio la TZS 100 kwa Hisa

    Mkombozi Commercial Bank Plc imetangaza gawio la TZS 100 kwa kila hisa kwa wanahisa wake kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 31 Desemba 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni, gawio hili limeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi, na wanahisa wanapaswa kuzingatia tarehe muhimu...
  12. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kujisajili na kutumia hisa kiganjani

    1. Utangulizi Hisa Kiganjani ni mfumo wa kidijitali wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) unaomwezesha mwananchi kuwekeza katika masoko ya mitaji kwa kutumia simu ya mkononi, kompyuta au huduma ya USSD. Kupitia mfumo huu, mwekezaji anaweza kufungua akaunti ya CDS, kufuatilia uwekezaji wake...
  13. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kupeleka fedha kwenye kununua Bonds, Hisa, UTT, hatifungani, fixed deposits, je ni kitu kizuri au kibaya?

    Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni mamotivesheni spika wanawajaza upepo. Binafsi naamini wale waliokuwa na pesa nyingi enzi hizo wakanunua hisa...
  14. greater than

    JamiiForums Tanzania DSE 1,2,3 : "Ninunue hisa za kampuni ipi ?"

    "Ninunue hisa za kampuni ipi ?" Hili ni moja ya swali ambalo kila Mwanahisa alishawahi kujiuliza au huwa anajiuliza. Leo nitatoa njia nyepesi ambazo utatumia katika kuchagua kampuni utakayoenda nunua hisa zake NJIA hizo ni 1. Bei ya hisa : Unapofika sokoni,bei huwa ni moja ya kipimo kizuri...
  15. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, uwekezaji kwenye soko la hisa ndio njia ya kujenga utajiri wa muda mrefu?

    Watu wengi huweka nguvu zote kwenye kufanya kazi kila siku lakini hawajui jinsi ya kufanya pesa zao ziwaongezee pesa nyingine kupitia uwekezaji. Moja ya maeneo ambayo matajiri wengi duniani hutumia kujenga wealth kwa muda mrefu ni soko la hisa (stock market). Lakini swali kubwa ni: 👉 Soko la...
  16. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Je, Mtanzania anaweza kununua hisa kwenye makampuni ya Kenya?

    Wataalam wa hisa Hivi Watanzania wanaweza kununua hisa kwenye makampuni ya Kenya?
  17. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dangote kiwanda cha Kuchakata mafuta (Refinery) kutoa IPO katika masoko ya hisa Africa.

    Baada ya kuzidiwa na Madeni naona Aliko Ally Dangote anataka kuweka sawa vitabu vyake Debt to Capital balance kwa kutoa IPO (Initial Public Offer) ili kupata mtaji ambao utasaidia katika ku balance vitabu Mfanyabiashara huyu alishafungua Refinery yake Nigeria ambayo inachakata pipa 650,000/= kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Wakuu habari za majukumu Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe Asante
  19. U

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Habari ya leo wadau!Kama mtu anaanza kuwekeza katika hisa leo 4/5/2026 unaweza kumshauri anunue hisa za kampuni/benki gani?NAOMBENI USHAURI HAPO
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
Back
Top Bottom