madalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madalali wasukuma wanaouza "Yaya" mikoani ni Jinai!

    Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi. Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa kwenda sekondari lakini mzazi wake anapatiwa kaujira kadogo huku mishahara ikielekezwa kwa madalali...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  3. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Real Estate ,Je Madalali wa Bongo hawajui real property value na pricing au ni kukandamiza tu wananchi?

    Anaandika Malisa GJ Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kuwa real estate ya bongo ni pasua kichwa, nikacompare bei ya nyumba Atlanta GA, zikazidiwa bei na baadhi ya nyumba za Dar. Yani ni Futuhi. Nyumba ya Philadelphia inazidiwaje bei na nyumba ya Kimara Temboni? Kweli bongo nyoso. Anyway, hii...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuharakisha Leseni za Walimu, Madalali na WAendesha Guta za umeme zisizo na namba plate!

    Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN) Wafamasia...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mchongo Kamili wa Kupata Wateja wa Utalii wa Nje Bila Madalali

    Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana ushirikina wowote, bali wanajua mchezo mzima wa masoko ya kidijitali wa kudaka watalii wa Marekani, Ulaya...
  6. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania HOJA Changamoto ya Visa ya China Tanzania: Tatizo ni Madalali, Sio Ubalozi

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madalali na wasambaza nyaraka wa mahakama kuu wengi kutokuwa na ofisi na maghara

    Habari, Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata. Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu wafawidhi wa mikoa wanapitisha watu wao wanaowapenda wao kwa maslahi yao kitu kinachopelekea madalali...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mawakili Wahujumiana: TLS Yaziba Masikio:Nao Waamua kuwa Madalali!

    Mawakili wa Tanzania wamekuwa hawana maana tena , wanahujumiana wao kwa wao, wamekuwa hawaheshimika hata na mamlaka nyingine na wakionekna bora hata wauza pipi kuliko mawakili! SWALI NI KIPI KIMEWASIBU?- Hapa ilianza chuki , pale mwaka 2014 chaguzi za TLS walipojitokeza machawa waliopandikizwa...
  9. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Taifa la Madalali na Wachuuzi

    Kuna Muda unaweza kujilaumu Sana Kwa Nini?umepoteza Muda mwingi kusoma hii elimu tuliyoachiwa na mkoloni... Kama MTU ana master's degree na Ni winga kariakooo Au afisa ubashiri Yani mkamalia,au Ni mwanamtandao I mean Content creator elimu Kuna Shida Mahali Vijana ndo nguvu kazi YA TAIFA lakini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ipige marufuku hawa madalali holela wa viwanja mitaa

    Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu. Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tume haingiliwi, hatuna madalali

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Chande amekanusha uvumi wa kuwa Tume hiyo imeongezewa muda ili ripoti yao ichakachuliwe. Jaji Chande ametaja sababu za kuomba nyongeza ya muda wa siku 21 kuwa ni Ukubwa, Uzito, Kina cha kazi na ushahidi...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madalali kwenye Masoko wana nguvu kiasi hiki? Wakulima tunaumizwa

    Kwanza kabisa nipeni kiti nikae nifute machozi mkulima mimi! Hivi hawa madalali kwa nini wana nguvu kiasi hiki? Kwa nini wanaruhusiwa kuwepo licha ya unyonyaji wanaotufanyia wakulima? Ni huzuni sana, kilimo kimezungukwa na utapeli ambao unakaliwa kimya, wakulima tunaumia Mkulima nahangaika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Cha kusikitisha ni kuwa wawekezaji wanakwama kwa stockbrokers ambao ndio wanahusika kumnunulia au kumuuzia hisa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Inasemekana upigaji kwenye mradi wa BBT ndio umemuondoa Bashe

    Salut kwenu waungwana! Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million. #December 9
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati tofauti, Bwege amekuwa akitoa kauli zenye uzito wa kisiasa, kijamii, na hata kiitikadi. Soma Pia...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa...
  17. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  18. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wapiga debe na madalali wa watoza ushuru waliojificha

    Habari Tanzania ! Nauliza swali. Hivi hawa Raia wanaojihusisha na hizi kazi mbona wanatoza ushuru binafsi pasipo mamlaka husika kujua, je hii ni sawa kwa maendeleo ya nchi? Karibu
  19. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati iangaze pia Kwa madalali

    Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali. Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria? N'yadikwa
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Madalali Dar, walalama wachina kuingilia kazi zao

    Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina, wanaodaiwa kufanya biashara ya udalali wanapoingia nchini. Akizungumza na Swahili Times, Kaimu Katibu...
Back
Top Bottom