market

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hatujuani ila kuna members wenzetu humu JF na hata ndugu zako matajiri wanaingiza hela za usiku wengine wanaita husttle wengine wanaita black market

    uchumi wa dunia sio GDP rasmi za nchi pekee kuna upande mwingine mkubwa sana wa uchumi ambao haupo kwenye reports rasmi za serikali wala World Bank. Huu ndio Black Market au unaeza ita Shadow Economy. Inaaminika karibu asilimia 5 ya GDP ya dunia hupitia kwenye money laundering na criminal...
  2. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rotting garbage chokes Soroti market as collection stalls

    Photo: Daily Monitor Piles of uncollected garbage and a pungent stench have overwhelmed Soroti Central Market, disrupting business and raising health concerns after waste went uncollected for more than three days. The worst-affected area is Gate Four, where an overflowing skip and heaps of...
  3. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Heart breaking Scenes at Katwe Market after the fire Incident.

    Pictures by @ntv
  4. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Deputy Speaker of Parliament clarifies on the ownership of land around St Balikudembe Market(Owino Market)

    Deputy Speaker of parliament has today via his X clarified on the ownership of land around round st Balikudembe market and the recent demolitions in that area. Thomas Tayebwa via X platform “I have seen various social media posts and received numerous inquiries seeking clarification on my...
  5. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda St Balikudembe Market Owino Demolished by unknown people.

    St Balikudembe Market located at the boundary of Nakivubo channel has been demolished by Hamis Kigundu a renown Business man and real estate developer without authorization According to KCCA, this operation happened at around 10:00PM in the night of 7th March 2026 It should be noted that...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wapi Ilipokuwa Ofisi ya Market Master Kariakoo Market?

    Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo. Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni kwenda mbele. Hapo niliposimama kwenye picha nimesimama ilipokuwa zamani Barabara ya Swahili na...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunajidanganya kuwa soko letu kwa wadada ni kubwa tukiwa na miaka 29-35 na kuendelea ila uhalisia sio huo

    Wana Jf salaam Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto wetu huanza kupungua sana tukifika miaka 30+ Mwanaume utakua na soko kwenye miaka 30's kwenda...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

    Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni. Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Front-Running na Market Manipulation: Sababu za Hedge Funds Kushitakiwa Marekani

    Soko la fedha ni lenye mtiririko mkubwa wa fedha, na mara nyingi hedge funds au mabenki makubwa hujaribu kutumia nafasi zao kupata faida. Hata hivyo, baadhi ya vitendo vinavyojulikana kama front-running na market manipulation vinapingana na sheria za Marekani, na vinaweza kusababisha kesi za...
  10. Immortal Techniques

    JamiiForums Tanzania Looking for Cotton Cakes Market; Natafuta Wateja au masoko ya Mashudu ya pamba

    Habarini za wakati huu, Natafuta Wateja/ masoko ya Mashudu ya pamba -anayehitaji aje pm au mwenye connection pia anipe Niko Mwanza.
  11. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Selcom Pesa: The East Africa Market Disruptor

    Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Space colonization ina market capitalization zaidi ya ONE QUADRILLION USD

    Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia 90 Kuna watu wanasema wewe mtia nia wa urais wa Tanzania mbona hufocus na mambo kama huduma za...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Waziri, Elimu Unayoiongoza Inazidi Kuwa “Local Education” Badala ya “Universal Market Education”

    Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu mwelekeo wa elimu ya juu nchini, hususan uamuzi na ufafanuniz wako kwenye hotuba ya jana wa kusimamisha baadhi ya kozi katika vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Tunaamini...
  14. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Auto Market App: Suluhisho la Kidijitali kwa Biashara ya Magari na Vipuri Tanzania

    NRNE Takriban miezi 6 hadi 7 iliyopita, nilikuja hapa jukwaani kuelezea nia yangu ya kuanzisha jambo lenye manufaa katika sekta ya usafirishaji kupitia uzi huu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania high inflation, pesa yetu ni useless In world market, watu mpo kimya?

    I will be short aisee every day. mambo ya nakuwa magumu, inflation kubwa sana. aisee hata dollars watu wanatuuzia at high price wana ogopa market vulnerability. yani mtu nauza dollar at maximum profit anajua hizi mambo siku yeyote itapanda zaidi. Sasa tunatokaje huku?? hali mbaya sana
  16. flood

    JamiiForums Tanzania Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

    Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa. Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio...
  17. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kwenda nje ya nchi, fani gani Zina market Sana??

    Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
  18. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Hii hapa michongo ya financial market inayoweza kukufanya utoboe kimaisha bila hata connection wala mafuta ya upako

    Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa. . BILA Hata kusota Wa kuteseka. Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿 . Na Good News... . ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania market and sales specialist

    Habari za mda huu wakuu. Natafuta kazi ya sales and marketing Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye iyo sector Nauwezo mkubwa wa kuongeza mauzo na soko kiujumla. Let win the market together 0774214255
  20. babalisa05

    JamiiForums Tanzania USA stock market

    Nawezaje ku trade soko la hisa la USA mikiwa TZ? Nawezaje kununua big stocks kama AAPL, TSLA etc Sio Forex bali Stock MARKET kama kuna broker naweza mtumia hapa TZ
Back
Top Bottom