kinyesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kitu hatari. Huyu mama ntilie anawalisha watu kinyesi cha binadamu

    Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi? https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani

    Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza mtaani kwetu vinyesi vinamwagika tu, yaana mwaka sasa na tumesharipoti DAWASA hawafanyi kitu tumeripoti kwa mwenyekiti hafanyi kitu. Tunaomba msaada kuna Watoto wadogo wanachezea hicho kinyesi, ni Mikocheni A, Mtaa wa Darajani aisee hali ni mbaya sana, naomba...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tume ya wazee, na kikao na wazee Leo Ili uhutubie taifa, vijana tunanuka kinyesi?

    Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi? Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nilipozoa kinyesi cha kichaa ndani ya eitiem.

    Wakuu, nawasogezea stori (mkasa ulionikumba mwaka 2013). Nisisahau jadi ya watanzania, hamjambo wote? Watoto wenu hawajambo? Wakuu, ilikuwa hivi, mwaka 2013 mwezi wa 11, kipindi hicho nikiwa nimeingia mwaka wa 3 wa masomo chuoni, wakati 'bumu' la kwanza likiwa limetoka, siku hiyo bumu linatoka...
  5. je parle

    JamiiForums Tanzania Tar 29&30 ilikuwa ni mpango maalum wa kumpa kinyesi mtawala.???

    Kitu cha kushangaza kabisa mkoa niliokuwepo hakukuwa na maandamo wala uharibifu wowote ule siku ya uchaguzi.! Lakin siku ya pili tena jioni ndio vurugu zinaanza kwa kasi ya ajabu ?? Hawa walikuwa wapi kuanza vurugu siku husika.??? Inaonekana ilikuwa mpango maalum wa kumtia doa kiongozi kwa...
  6. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Akutwa na ndoo za kinyesi na mikojo ndani. hivi hili ni tatizo ugonjwa wa akili?

    Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu. Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine? Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili...
  7. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa mwili wa Putin ‘hukusanya kinyesi chake anaposafiri nje ya nchi na kukirudisha Urusi pamoja naye’

    realratedred Vladimir Putin anakutana na Donald Trump huko Alaska leo kwa mazungumzo ya amani yenye umuhimu mkubwa kuhusu vita vya Ukraine, na inaripotiwa kwamba ameambatana na moja ya hatua zake za kiusalama za ajabu kabisa. Kulingana na waandishi wa habari wa uchunguzi kutoka Ufaransa, Regis...
  8. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!

    1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable Tlaatlaah DR HAYA LAND
  9. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tenda ya kuzibua mitaro, siogopi kinyesi wala tope

    Kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nianze kufanya kazi ya kusafisha na kuzibua mitaro sehemu mbalmbali za jiji la Dar es salaam. haszu Confession @cutewife Nawengine ambao mnaweza kutoa tenda mje,. hakika koleo na vifaa vingne muhimu vipo vinasubiri wateja.
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
  11. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Mbolea ya kinyesi cha Popo

    Wadau naomba ufafanuzi kitaalamu na kwa wadhoefu waliowahi kutumia mbolea hii mavi ya popo ufanisi wake ni nzuri?na inafanya vizuri Zaid kwenye mazao Gani maana nina kama gunia 15 za kinyes Cha popo
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Ilala Sokoni karibu na Ofisi ya RC na DC hali ni mbaya, maji ya kinyesi yanatiririka eneo la kufanyia biashara

    Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo. Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Arusha: Akutwa ndani na lita 70 za mkojo na kinyesi ndoo 6.

    https://www.instagram.com/reel/DCoi3G8C6Yl/?igsh=bWN5bnlwejNxYmsy
  14. P

    JamiiForums Tanzania KWELI Black Ivory Coffee, kahawa ambayo mchakato wa utengenezaji hupitia kumezwa na kutolewa kwenye kinyesi cha tembo

    Wakuu, Nimekutana na video huko duniani, kahawa hii wanapewa tembo wale na tembo hao wakijisaidia inaenda kusafishwa kisha kuuzwa, wanadai eti ikipita kwenye mwili wa tembo inapunguza ladha ya uchungu, yaani isiwe kali sana. Hii ni kweli wataalamu?🥲 Video hii hapa👇 ---
  15. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari ya Maji taka yamwaga maji kwenye Makazi ya Polisi Oysterbay

    Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari. Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi. Dereva wa Gari la majitaka anatamba...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kuwa mkojo wa wanyama una mbolea kuliko kinyesi chake?

    Kinyesi ni makapi ya chakula baada ya umeng'enyaji kwenye mfumo wa chakula. Mkojo wenyewe ni mkusanyiko wa taka mwili karibu zote za mwilini. Taka hizo zinatoka mwilini mwote, zinaingia kwenye damu, kwenye figo na kisha kama mkojo. Hivyo mkojo unakuwa na makorokoro mengi sana ukilinganisha na...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
  18. Blender

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haifanyi uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya mila hizi potofu?

    Yah habar ndio hio, wakati Dunia ikizidi kusonga mbele Kwa science na technology, tz 🇹🇿 Hali ni tofauti kabisa , Wao wanarudi zama za mawe (stone Age). Hii habari ime reportwa shinyanga mwaka 2023 July na BBC Swahili, Lakin hatukusikia tamko la serikali, la kufanya uchunguzi AU Hata kukemea...
  19. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwa kutokuwa na sewerage system, kila nyumba ni ghala la na hifadhi ya kinyesi na maji machafu

    Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi...
  20. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yasitisha mauzo ya mbolea aina ya NPK

    Katibu wa Wizara ya Kilimo nchini Kenya, Dkt. Paul Rono, ameamuru kusitishwa kwa uuzaji wa mbolea aina ya NPK 10:26:10 inayotengenezwa na kampuni ya Ken Chemicals ya Thika. Katika barua yake kwa Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB), Dkt Rono amesema uchunguzi uliofanywa na maafisa wa...
Back
Top Bottom