mabibo

Mabibo is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 73,978.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitomai

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA – MABIBO MWISHO | INAINGIZA KILA MWEZI 🔥

    🏠 💼 FURSA ADIMU KWA WAWEKEZAJI! Unatafuta property ambayo inaleta kipato kila mwezi? Hii ni fursa ya kipekee Mabibo Mwisho, eneo lenye wanafunzi wengi na biashara kubwa. 📐 Kiwanja: 300 SQM 🏠 Vyumba 4 vikubwa vyenye deka (slab), vimegawanywa kwa ajili ya wanafunzi 38 na tayari vinafanya kazi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aelekeza Wafanyabiasha 30 Soko la Ndizi Mabibo kurejeshwa Sokoni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza waliokuwa wafanyabiashara 30 wa soko la ndizi Mabibo (Mahakama ya Ndizi) kurejea kufanya biashara kwa udhamini wa maandishi kutoka ofisi za Serikali za Mitaa. Prof. Shemdoe...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wazazi na Wanafunzi wa shule ya msingi Umoja, iliyopo Mabibo Farasi tunateseka kwa michango

    Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili kuona jinsi wazazi na watoto wanavyoteseka. Kwa mfano, mzazi mwenye watoto wawili shuleni hapo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwenyekiti wa Mtaa Mabibo Sahara anatusumbua kwa michango yake ya Ulinzi Shirikishi

    Mimi ni mkazi wa Mabibo Sahara, kero yangu/yetu wakazi wa huku tunachangishwa pesa za ulinzi shirikishi kwa maelekezo ya mwenyekiti, shida siyo kuchangishwa fedha kwa ajili ya ulinzi shirikishi kama mtaa, je ni sawa kuchangishwa kila chumba kwa nyumba moja yaani sio nyumba ila kila chumba...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta frem mabibo sokoni

    Kama inavyotajwa hapo juu, ninahitaji frem ya biashara mabibo sokoni kwa ajili ya biashara ya nafaka, hata nje ya sokoni pembeni mwa barabara fresh. Kama unayo njoo na ofa yako inbox. Salaam
  8. Yusufu Mjasili

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  9. Yusufu Mjasili

    JamiiForums Tanzania Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  10. The last don

    JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

    Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mabwawa ya Mabibo (Dar) yanahatarisha afya za Wananchi, yanatiririsha maji yenye kemikali za Viwanda kwenye makazi ya Watu

    Licha ya wahusika kujenga mabwawa eneo la Mabibo kwa lengo la kuweka usalama wa kuhifadhia majitaka yanayodaiwa kutokea viwandani lakini Wananchi wapo hatarini kuathirika na maji hayo kutokana na kutiririka kwenye makazi na kutoa harufu kali za kemikali. Wengi uenda tukawa tunafahamu mabwawa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania KERO Hewa ya Mabibo Mwisho ni mbaya na chafu sana eneo la Stendi

    Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa makubwa mawili aisee yanaleta harufu Kali sana sasa ukitembea maneno karbu na hata mabwawa stendi...
  14. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mabibo: 2 Storeys 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Mwisho • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 400 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 250 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba (ghorofa) ina vyumba master 2 na kawaida 2; sebule 2, dining, jiko, vyoo vya public 2 na bindo ✓ ina malumalu, gypsum, madirisha...
  15. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
  16. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  17. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ubungo, Mabibo, Mburahati, Manzese hakuna maji siku zaidi ya tano sasa

    Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji. Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  20. Crigler Najjar

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Temeke hulazimika kupanda magari mawili ili kufika Mabibo Kigogo ama Manzese

    Wanaohusika na kuanzisha root za daladala watufikirie , maana nauli imepanda na tunalazimika kulipa nauli mbili kwa safari fupi kabisa.
Back
Top Bottom