soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Soko la sato wa kufuga

    Wajasiriamali wa chakula, tufahamishane soko la bidhaa hii ya chakula, yaani sato wakufuga kwenye mabwawa, kwa jiji la Dar lipo wapi? Uzito ni samaki wa 3 hadi 4 kilo, bei ya jumla ya bidhaa kuanzia kilo 50 ikifatwa shamba, Kigamboni ni TZS 7500. Karibuni
  2. JanguKamaJangu

    Usafi waanza kufanyika Soko la Kawe baada ya uchafu kukithiri kutokana na mvua

    Baada ya Jamii Forums kuripoti kuhusu Soko la Kawe kuwa chafu kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, mamlaka zimeanza kuchukua hatua ya kufanya usafi sokoni hapo. Barabara ya kuelekea sokoni hapo imeanza kufanyiwa marekebisho ya kuwekewa vifusi, ambapo awali kulikuwa...
  3. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: Hali ya mazingira Soko la Kawe siyo nzuri kwa afya za watumiaji na wakazi

    Kutokana na mvua kuendelea kunyesha mara kwa mara Jijini Dar es Salaam hali ya usafi katika Soko la Kawe imekuwa siyo nzuri, mazingira haya yanatajwa kuwa sio salama kwa watumiaji sokoni hapo na wakazi wa maeneo ya Kawe. Soko hilo lipo katika Jimbo la Kawe ambalo Mbunge wake ni Joseph Gwajima...
  4. beth

    Dar: Hali ya Soko la 'Magunia' yahatarisha Afya za Wananchi

    Hali ya Soko la 'Magunia' Msasani bonde la Mpunga linavyoonekana pichani, ambapo soko hilo hutumiwa na Wakazi wa maeneo mbalimbali ikiwemo Masaki na Oysterbay kujipatia Mahitaji yao ya kila siku Pamoja na umuhimu wa Soko hilo kwa maeneo hayo, suala la usafi wa Mazingira na Miundombinu yake...
  5. ESCORT 1

    Hili ni soko la eneo gani?

    Wakuu wa JF, hapa ni soko gani kwa uzoefu wenu? Miaka 60 baada ya Uhuru
  6. Stroke

    Thamani ya Chai ya Tanzania yaendelea kuporomoka kwenye soko la kimataifa.

    Wakati Serikali yetu ikiwa busy kwenye uzinduzi wa filamu yetu huko Marekani. Thamani ya Chai yetu inazidi kuporomoka kwenye soko la kimataifa. Katika mnada uliofanyika Mombasa nchini Kenya hivi majuzi Chai ya Rwanda ili endelea kufanya vyema kwa kuuzwa kwa dola 2.83 kwa kilo moja ilhali ile...
  7. beth

    Mbunge: Serikali iwekeze kwenye miradi yenye tija

    Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko lijengwe kule alikuwa anawaza kitu gani? Maana yake ni Bilioni 5.5 zimelala pale hazina tija" Aidha...
  8. YEHODAYA

    Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu

    Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu Mavifaru ya mrusi yanabomolewa hovyo na makombora ya Javelin Meli hodari kivita ya mrusi kulipuliwa na kombora Neptune Ni meseji sent kwa wanunuzi wa silaha kuwa hizo silaha za Urusi si kitu Soko lake...
  9. K

    Lipo wapi Soko la kuku wa kisasa DSM

    Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza. Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa Shekilango tafadhali aniambie.
  10. Area 56

    Maji ya kunywa ya Afya yanatishia soko la Maji ya Kilimanjaro huko Kaskazini mwa Tanzania

    Maji ya kunywa ya Kilimanjaro lita 1.5 inauzwa sh. 1,000 mpaka sh. 1,200 kutokana na upandaji wa bei ya bidhaa mbalimbali. Maji ya Afya sasa yameingia rasmi kaskazini mwa Tanzania ambapo lita 1.5 utaipata kwa sh. 600 mpaka 700 huku lita 1 ikipatika kwa sh. 500/= Ukiwa na sh. 500 kwa kampuni ya...
  11. Magazetini

    Mrisho Gambo: Mabadiliko ya kanuni Soko la Tanzanite mwaka 2019 yameipatia Serikali hasara kubwa sana

    Akichangia bajeti ya waziri mkuu, mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo ameongelea sekta ya madini ikiwemo mabadiliko yaliyopelekea kuhamisha soko la madini kutoka Arusha kwenda Mirerani na hasara yake kwa Serikali na mji wa Arusha. Mrisho Gambo: Mwaka 2019 tulianzisha masoko ya madini, Arusha...
  12. B

    UDOM wanakimbiza kwenye soko la ajira

    Kwenye hizi nafasi za TRA zilizotoka vijana wengi wa UDOM wamepita. Hii inaonesha jinsi gani udom wanadeliver katika ufundishaji hasa hasa Tehama. Vijana wengi wa tehama kutoka udom wameiva me niliwahi kuwachukua vijana watatu intern wamenifanyia kitu kikubwa....Wakati wa kutengeneza mifumo...
  13. Joseverest

    Hitilafu ya umeme chanzo cha moto Soko la Karume

    Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Moto huo...
  14. T

    Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

    Vibanda vya wafanyabiashara wadogo 'Machinga' na mama lishe zaidi ya 30 vimeteketea kwa moto katika Soko la Karume Jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo Aprili 8, 2022. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ACP), Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa moto huo na kusema chanzo cha...
  15. U

    Kwanini Makampuni Makubwa ya Gas na Madini hayapo soko la Hisa DSE tofauti na Ulaya

    Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini hayapo, Tena mengine yanafanya kazi hapa lakini yapo kwenye masoko ya Hisa ya Ulaya. Au mi...
  16. opondo

    Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

    Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka? Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida. Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia. Asanteni.
  17. K

    Soko la kuuzia nyanya kwa Dar es Salaam

    Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
  18. S

    Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  19. Bushmamy

    Hili ndio soko kuu la samaki Moshi, Mji unaondaliwa kuwa Jjiji

    Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita. Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile kinachodaiwa kuwa ni katika kuiandaa moshi kuwa jiji na hivyo kuondoa mlundikano wa kuwa sehemu moja...
  20. MK254

    Benki kubwa ya Urusi yaaga soko la bara Uropa na kufunga matawi yote huko

    Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi. Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye kumi nane, Warusi wanateseka kote nje na ndani kwa ajili yake na muda usio mrefu watamgeukia, Urusi...
Back
Top Bottom