muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa sura ya mke wa CEO wa kampuni ya Dell yazua gumzo Marekani

    CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa...
  2. Tyrone Griffins

    JamiiForums Tanzania Kwa muonekano wa kigentleman hakikisha hukosi saa hizi mkononi!

    Habari wana jukwaa,naomba mnipokee mimi ni mgeni humu nilikuwa guest member kwa miezi miwili kabla ya kujiunga rasmi hii leo,naombeni ushirikiano wenu nauza Accesories mbalimbali classic pamoja na mavazi,accesories kama vile miwani,saa za kike na za kiume,wallet,handbags,cheni zinapatikana kwa...
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu anataka awe rafiki yako tena muwe wote kwenye watu wengi/ public. Nashukuru watoto wangu wamechukua...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa shule ya msingi Grace Mesaki

    Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama. Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa kiasi kikubwa mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku ukiongeza fursa kwa wanafunzi kupata...
  5. Right Flower

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

    Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee. Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wapata Muonekano Mpya: Rais William Ruto Azindua Sare Mpya Kiganjo

    Rais William Ruto amezindua rasmi sare mpya za maafisa wa General Duty wa Kenya Police Service katika hafla iliyofanyika Ijumaa, Agosti 28, 2026, katika Kenya Police Training College, Kiganjo, Kaunti ya Nyeri. Chini ya muundo huo mpya, maafisa watavaa shati za rangi ya sky blue, suruali za...
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia kitanda chako kiwe na muonekano mzuri

    Huna haja ya kutumia mabilioni au kukaa kwenye hoteli ya nyota tano ili kufurahia kitanda chenye muonekano wa kifalme. Mabadiliko makubwa ya muonekano wa chumba chako yanaanzia kwenye sanaa ya kupangilia kitanda chako kila asubuhi! Ukiangalia mpangilio wa kitanda hiki kwenye picha, utagundua...
  9. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Muonekano wako ni kama unavokula... Pia akili yako ni kama unavoilisha

    Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula. ukila haraka haraka bila kutafuna vizuri unaingiza mabonge tumboni, hivyo tumbo na mwili vyatumia nguvu kubwa kusaga, na labda kushindwa...
  10. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Chuando tan ana miaka 60 lakini ana muonekano wa kijana kabisa

    Ni msingapore jamaa ana miaka 60 lakini muonekano wake ni WA miaka 30, jamaa kushangaza ulimwengu jinsi anavo jitunza
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ariana Grande amechoshwa na ukosoaji wa muonekano wake

    Mwanamuziki na mwigizaji Ariana Grande anapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa shughuli zake za hadharani baada ya kukamilika kwa ziara yake ya Eternal Sunshine Tour, huku mwakilishi wake akisema amechoshwa na uchunguzi na maoni yasiyoisha kuhusu maisha na mwonekano wake. Kwa mujibu wa taarifa...
  12. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume nikiwaangalia kwa muonekano wao, najiuliza hivi huyu atapata mpenzi kweli?

    Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za ziada kama hela/kazi, kunawanaume wengi wangekua na hali ngumu sana. vice versa Jamaa wengi...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Unapendelea muonekano gani wa battery level kwenye screen ya simu yako?

  14. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  16. R

    JamiiForums Tanzania Video: Muonekano wa Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakamani leo Aprili 30, 2026

    Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake. Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa taa mpya zinazofanya kazi Kituo cha NaneNane mkoani Mbeya

    Baada ya malalamiko kadhaa ya Wananchi kuhusu Stendi ya Nane Nane Mkoani Mbeya kuwa na changamoto ya kuwa na kiza wakati wa usiku kutokana na Taa kutofanya kazi, kwa sasa kituo hicho kina taa mpya ambazo zinafanya kazi. Hoja ya awali hii hapa ~ Stendi ya NaneNane – Mbeya taa haziwaki usiku...
  18. Luxe Light Craft

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  19. Hharyson

    JamiiForums Tanzania IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650 HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE POOL CONSTRUCTION TUPIGIE UPATE KAZI BORA
  20. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya muonekano wa viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa kuelekea CAF 2027

    MAGEUZI YA MUONEKANO WA VIWANJA VYA UHURU NA BENJAMIN MKAPA KUELEKEA CAF 2027 Imeandaliwa na, Nicolas Jovin Clinton Gabone Serikali ya Tanzania na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) wameshiriki kikamilifu katika ukarabati wa viwanja vikuu vya Uhuru na Benjamin Mkapa, wakiweka mkazo mkubwa...
Back
Top Bottom