Nina gunia 300, natafuta soko la viazi vitamu

3714856D-C9E5-432E-86DC-6DE160EBBEBE.jpeg
 
Ulaya Kuna soko la viazi vitamu
Sijajua kama umeongezea maelezo au umeuliza swali.

kama ni swali! Ndiyo soko lipo kila kitu ni supermarket mkuu. Ugumu ni namna gani bidhaa yako imekidhi ubora na mchakato wa kufika kule.
Sijui mengi ila nina uhakika
 
Back
Top Bottom