ramadhan

  1. Mpekuzi Tanzania

    Ramadhan imekwisha, tuendelee na ujenzi wa taifa

    Pasaka imeenda Ramadhan imekwisha Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano. Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
  2. Erythrocyte

    Futari ni nini? Kwanini watu wengi wanafuturisha Wasiofunga Ramadhan?

    Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
  3. Erythrocyte

    Ramadhan Cup yaanza kutumiwa na CCM. Ally Bananga apewa nafasi, amshukuru Rais Samia kwa Ramadhan Cup

    Michuano ya soka iliyochukuliwa kama burudani kwa wale waliofunga Ramadhan, huku wakisubiri daku. Sasa ni Rasmi imegeuka na kuwa mipango ya kampeni ya CCM, bado hatujajua kama jambo hili ni Bahati mbaya au ni kitu kilichopangwa na waandaaji, na bado hatujajua kama timu zote zinazoshiriki...
  4. sonofobia

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  5. Trainee

    Baada ya Ramadhan idd ni moja tu, hakuna kitu inaitwa idd pili! Kwenye idd ya kuchinja ndipo penye siku tatu za baada ya idd

    Salaam wandugu, Niliwahi kuandika jambo hili kuiomba serikali na kuishauri na leo narudia tena kwa nia ya kukujuza wewe usiyejua ujue kabisa utaratibu ulivyo. Mwishoni kama ada sitaacha kuishauri na kuiomba Serikali itekeleze jambo Ni kwamba wengi wetu tumezoea tangu mashuleni mwezi wa...
  6. Mhaya

    Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
  7. U

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba : Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
  8. R

    Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

    Salaam, Shalom!! DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki, Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake, Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini? Au wana dini ila Hawajafunga? Nauliza tena...
  9. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
  10. S

    Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  11. Chumchang Changchum

    Ramadhan kareem 2024

    Mwezi wa Ramadhan ni moja kati ya nguzo kuu za Uislamu. Kama ilivyo idhinishwa katika Kitabu kiukufu {QUR-AN 2 : 185}cha Waislamu. Siku za kufumga kati ya 29 mpaka 30 pia inategemea muandamo wa Mwezi. AFYA NA FAIDA YA SWAUMU 1. Ni kutekeleza mojawapo ya amri za Mwenyezi Mungu alizotuteremshia...
  12. U

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote. Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo Ramadhan inakutanisha waislam wengi...
  13. Replica

    Ramadhani Brothers kukutana na rungu kodi zaidi ya 180M kwenye 600M waliyoshinda

    Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki. 600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo...
  14. M

    Msigwa: Ramadhan Brothers tunawasubiri tuwape Maua yenu

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa, amewapongeza vijana wanaounda kundi la Ramadhan Brothers baada ya kujinyakulia ushindi kwenye mashindano ya AGT 'America’s Got Talent Fantasy League'. Msigwa ametoa pongezi hizo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii na ameahidi kuwa...
  15. Said Stuard Shily

    Simba Mkataeni Ramadan Kayoko kuna siku atawaumiza pakub

    Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera...
  16. Mganguzi

    Ramadhan brothers ni viumbe wa kutisha! Show zao ni jasho na damu ! Sioni kama tumewachukulia serious!

    Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno. Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya...
  17. R

    Media za Bongo kimya, American Got Talent, Ramadhan Brothers

    Habari za asubuhi wapendwa. The Ramadhan Brothers kutoka Tanzania wametinga fainali,nashangaa media za bongo zinko kimya..Hakuna asiyefahamu American Got Talent ni moja ya mashindano makubwa Duniani. Hakuna support yeyote imeonyeshwa na media za bongo kuweza kuwahamasisha watanzania kuwapigia...
  18. Mi bishoo tu

    RPC Mara Salum Ramadhan Morcase ni mchapa kazi haswa

    Nina miaka sasa zaidi ya 10 katika mkoa wa Mara. Katika kipindi chote hicho nimeshuhudia makamanda wengi wa polisi wa huu mkoa wanavyowajibika ila kwa huyu mkoa umepata kamanda haswa! Anasikiliza matatizo ya Wananchi na kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo. Halewi madaraka, ni mtu...
  19. benzemah

    Rais Samia amteua Dkt. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi, alisema Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa...
  20. Hance Mtanashati

    Baada ya kushinda lalamiko dhidi ya Juma Choki, Loren Japhet apeleka tena malalamiko dhidi ya Nasibu Ramadhan.

    Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi. Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka uamuzi sahihi ulikuwa apewe ushindi Loren Japhet au matokeo yawe sare. Loren Japhet alipeleka...
Back
Top Bottom