Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,113
22,566
Salaam, Shalom!!

DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki,

Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake,

Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini?
Au wana dini ila Hawajafunga?

Nauliza tena, waliofanya haya, ni ATHEIST kina Kiranga ?

Ombi: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi jitafakari.

Karibuni🙏
 
Weka hapa kwanza ushahidi wa kweli wa hizo kura unazosema zimeibiwa.


 
Unalijua saumu wewe,

Uliwahi KUFUNGA hata Kwa masaa SITA tu?
Swaumu ya kula daku saa Saba au name,au kumi,njaa utaanza kuhisi saa kumi na Moja jioni,coz wanapokula wengi wao hulala Tena,that means digestion zero ! digestion itaanza saa mbili au tatu asubuhi Hadi saa Saba au nane!!

Huyu mtu is capable of anything!

Kumbuka waislam wanafunga kwaajili ya akhera na akhera ni kuzimu alipo muhhammad!unadhani Kuna jipya hapo!!?

Kwaresma Kwa wakatoliki Sasa tangu lini doctrine ya mkatoliki ikawa utakatifu wakati wanaabudu mungu mke was kipagani Kwa jina la maria!!?yaani kama jinsi Diana alivokua mungu mke Kwa wagiriki ndivyo hivyo maria Kwa wakatoliki!!

Hakuna ambaue ataacha kuiba akijua destiny take ni kuzimu!!!
 
Back
Top Bottom