Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,866
Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru.
Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania basi kuna uwezekano mkaleta pia mambo ya Udini na vikundi vyenye itikadi kali kama ilivyo kwenye majimbo ya Nchi ya Nigeria yanayoongozwa na sheria kali za kiislamu. Na maeneo hayo hayo ndio makazi ya vikundi kama Boko Boys au Boko Haram.
Uwezi kumlazimisha mtu kufunga kwa sababu hiyo ni kati yake yeye na MUNGU wake, ukimpazimisha mtu kufunga kama hajasadiki au kuridhia ni sawa na kutwanga maji tu kwa sababu hatopata swawabu yoyote kwa mujibu wa imani ya kiislamu atafunga kwa kuwaridhisha watu tu. Mwili ni wake, mbona hakikosa chakula hamuwapelekei kuwalazimisha wale kama jinsi mnavyowalazimisha kushinda njaa.
Badala ya kushurutisha watu kushinda njaa kwa lazima, wafundisheni misingi ya Dini ya kiislamu na wafundisheni umuhimu wa mfungo wa ramadhani hili mtu atambue umuhimu wa kufunga na afunge kiroho safi.
Sheria hiyo ya kamata kamata watu wasiofunga inakiuka haki za mtanzania na vifungu vya katiba.
Pia Soma:
Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

- Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
- Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani
- Udhaifu katika katazo la kuuza vyakula mchana wa ramadhani
- Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana
- Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan