zuio

Zuiō-ji (瑞應寺) is a Sōtō Zen monastery in Niihama, Ehime Prefecture in Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  2. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kampuni ya ByteDance kuchutama, mamlaka imeamua kuondoa zuio la TikTok

    Uhusiano kati ya China na Tanzania umekuwa ni wa muda mrefu tangu Tanzania ipate Uhuru China imekuwa mstari wa mbele kusahihisha makosa yake ya Kibiashara yanayotokea Tanzania Kampuni ya ByteDance imeamua kuchutama ili kuondolewa zuio la TikTok lililodumu kwa muda mrefu Makosa ya TikTok...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa CHADEMA: Barua ya Naibu Msajili kuhusu zuio la Kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA imejaa upotofu na kupotosha amri ya Mahakama

    Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika orodha ya waliopigwa marufuku kushiriki shughuli za chama, Wakili wa CHADEMA ameibuka na kudai kuwa...
  4. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la Mazao ya Kilimo kutoka Malawi

    Hii hapa taarifa Rasmi Tanzania imekuwa na uhusiano mzuri wa kibiashara na Malawi katika biashara ya bidhaa mbalimbali za kilimo. Biashara hii ya kikanda na kimataifa inaongozwa na miongozo iliyotolewa na Baraza la Afrika la Masuala ya Afya ya Mimea (IAPSC) pamoja na Mkataba wa Kimataifa wa...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waijibu Polisi kuzuia wananchi kukusanyika Mahakamani siku ya kesi ya Lissu, wasema ni kudhoofisha Demokrasia

    Wakuu,
  6. w0rM

    JamiiForums Tanzania Imetambuliwa lakini haijalipwa, bado inatozwa kodi: Kitendawili cha Kodi ya Zuio (Withholding Tax)

    Mwalimu wangu wa uchumi wa sekondari, Bwana Mguruta, alikuwa bingwa wa kufanya mawazo magumu yaonekane kuwa ya kawaida na ya binafsi. Masomo mawili aliyofundisha yameendelea kuniongoza miaka yote hii – na kwa njia isiyotarajiwa, bado yana uhusiano mkubwa na kazi yangu ya sasa kwenye masuala ya...
  7. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Je, marekani itaweka zuio kwa kampuni ya China ya AI [Deepseek] ili kulinda makampuni yake ya ndani ya Artifical Intelligence[AI]

    Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii Je, huu utakuwa muendelezo wa...
  10. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dodoma: TRA yatoa elimu ya Kodi ya zuio Kwa taasisi za Umma

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.
  11. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Dkt. BITEKO na EWURA, Zuio la kuwauzia mafuta wateja wenye dumu (gallon) linaleta maafa vijijini kwa wakulima wanaotumia mashine za diesel na petrol

    Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta. Hii sheria au amri haikuzingatia maisha halisi ya nchi masikini kama Tanzania. Kuna mashine za kusaga nafaka, kukamua mafuta...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro. Umuamuzi huo umetolewa leo August...
  13. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba zuio la Mahakama (temporary injunction) kuzuia mali yenye mgogoro isiharibiwe, kuuzwa au kupotea

    Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa? Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio la muda mfupi Mahakamani ikiwa utaona mali inayobishaniwa kwenye kesi iko hatarini kupotea au...
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yashusha gharama za kuhuisha Vitambulisho vya Taifa baada ya Mahakama Kuu kuweka zuio la Kupandisha

    Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu Mahakama Kuu isitishe tangazo la kupandisha gharama za huduma hizo. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa mahakama wakwamishan kesi ya kupinga zuio maandamano Mbeya

    Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.
  17. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Macheyeki: Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini

    Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zuio la VPN: Kwanini Mamlaka zinaikimbia Teknolojia wakati dunia inaelekea huko?

    Wadau, bila shaka mmeliona tangazo la TCRA kuhusu onyo la matumizi ya Kipenya Mtando Binafsi (VPN), tangazo ambalo ni dhahiri linaonesha Mamlaka zinaogopa Teknolojia kuliko kuwekeza zaidi katika kutambua fursa zilizoko kwenye uwanda huo. Katika dunia ya sasa Mamlaka zinapaswa kuweka mazingira...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yalalamika zuio la magari ya Warusi kuingia Uropa kutaathiri Warusi wa kawaida

    Urusi inatia huruma kwa kweli, yaani ilianzisha huu ubabe halafu leo inataka ihurumiwe kwenye baadhi ya maamuzi, leo inalalamika kuhusu zuio la magari yenye usajiri wa namba za Urusi kutokuruhusiwa kuingia bara Uropa, inasema wananchi wake raia wa kawaida watateseka, eti ionewe huruma kwenye...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Zuio la muda wa kuwa nje wakati wa COVID-19 liliongeza Ajali za Barabarani

    Utafiti mpya umebaini kuwa zuio la muda wa kuwa nje ya usiku hadi alfajiri nchini Kenya, iliyotekelezwa mwezi Machi 2020 kwa lengo la kupunguza maambukizi ya COVID-19, ilisababisha bila kukusudia ongezeko la ajali za barabarani. Utafiti huo uliofanywa na watafiti kutoka taasisi mbalimbali...
Back
Top Bottom